‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

Yesu mwenyewe tunamngoja mpaka Leo sembuse hawa viumbe tena kwa uongo wa bikira. Hawa watu ni sawa na supu unaambiwa haijatiwa maji kumbe muuzaji ashatia maji Mara tatu. Ukisubiri inakula kwako lazima ionjweee
hahaha ni kweli kabisa
 
we nyoka mzee wacha masikhara..hivi ukisubiria kisha ukapata mwanamke wako ana mtarooooo utakuwaje?
 
Natamani nijitolee mfano Mimi binafsiiii...
Ila nsije ambiwa niende kwa shigongo..

Ila mada imenikamata penyewe..too bad siwezi sema my opinion.
 
Kiukweli wanaume tunaweza kuvumilia hata wanawake pia swala la msingi unachoniaminisha ni kweli. Huwezi kuniambia wewe bikira kumbe unamlolongo wa mabwana sasa umeona hakuna faida uliyopata ndo unajifanya bikra shabashiiiii hakuna binadamu anayependwa kudanganywa
Uongo umechukua nafasi kubwa katika maisha na mapenzi YETU
 
Hawa viumbe si wakuwahamini atakidogo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] haichekeshi mkuu ila imenibid tu jmn kuna wtu MNA vituko htr!!!
 
Reactions: SDG
Unang'ang'ania hadi ndoa unakuta jamaa hapandi mtungi, kuonjana ndo habari ya mjini kila mtu arizike na mzigo.
Hapo mkuu mbona unaniacha yaani ME anajua dhahiri hapandi mtungi alafu anaoa ili iweje?. Au sijakuelewa

Anyway mleta mada amesema ukweli hapo wengi hupenda kutumia migongo ya dini kuficha hayo ni ngumu kwa sasa kuoa KE bila kusex nao before ndoa.

Kuna vya muhimu kugundua ujue mtaendana au hafai ujikatae mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…