‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

Natamani nijitolee mfano Mimi binafsiiii...
Ila nsije ambiwa niende kwa shigongo..

Ila mada imenikamata penyewe..too bad siwezi sema my opinion.
plz funguka bana watu wapate kuelemikia hapa tupo huru kwenye kuchangia mambo kamw haya kuna watu wanafaidika
 
Hahaha ni kweli mzee yaan hakuna kitu huwa nachukia kama uwongo na hasa kwa watoto wakike
 
Mtasema sio kweli nmetunga story...!
Ngoja nisomege na mawazo ya wengine!
we funguka tu ,humu ukiwaogopa watu nini watasema utakuwa hat uwandiki uzi wala kuchangia coment ,hata mimi kuna wakat huwa nikiamuwa kuleta mada za kipuuzi naleta wanasemaaaa ila sijali
 
Reactions: SDG
Jamaa alishindwa hata kupima oil ili ajue kama ni kweli
 
kweli kabisa aisee ,Dunia hii ishaharibika watu hawaminiki tena
 
Jamaa alishindwa hata kupima oil ili ajue kama ni kweli
hahaha tatizo mkuu waha ni zaidi ya bongo movie ,kwanza hata akikuruhusu kupima oil basi kelele zake utasema kama kuku ananyofolewa manyoya akiwa hai ,Achana kabisa na sanaa za hawa watu
 
Nyoka mbabu, haujaingia "in deep" katika utafiti wako kwa kina juu ya muktadha halisi wa jambo hili.
Nikuulize labda. Hivi hilo uliloongelea wewe suala la bikira, ni kweli lina umuhimu na ni kivutio kwa wanaume walio wengi, yaani waoapo wakute mwanamke ni bikira?
Ndonikasema wewe jambo hili haujalifanyia utafiti wa kutosha.
Nijuavyo mimi, sababu ama manufaa ya kuzuia wachumba wasikaribiane kabla ya ndoa, zipo lakini si kwa kulinda bikira ya mwanamke.
Sababu ya kwanza ni kwamba mwanamme akinyimwa kukaribiana na mchumbaake kwa masharti hadi amuoe, humfanya awe serious na jambo hilo na ni kipimo tosha cha kuelewa kama kweli anampenda mchumbawake ama ni blahblah.
Atajinyima hata kula ili apate mali ya kukamilishia lengo lake.
Sababu ya pili ni ya kibinadamu, kwamba unapotaka kuhodhi kitu chenye thamani, halafu ikatokea ukalegezewa masharti ya kukipata, mfano unaelezwa kuwa, anza tu kukitumia, utalipa polepole. Je utaweka kipaumbele katika juhudi za kuhangaikia umiliki wake tena?
Tatu ni suala zima la 6x6. Hili lina mambo mengi tena kwa upana sana, ambayo sitayaelezea hapa.
Suala la bikira halina maana yoyote.
Tena nikwambie, wanaume wengi wanapoanzana hupenda kukuta wenza wao ni "wakufunzi" wazuri badala ya kukuta ni "wanafunzi" mbumbumbu wanaohitaji chekechea kabla ya kuanza la kwanza.
 
kivp mkuu
Kuwaambia wazaz kuwa hilo dau Kubwa.
Ntakupa mfano.
Dadangu alichumbiwa,kwenye kikao cha kifamilia tukaijadili barua ya posa na kumuhoji mchumbiwa akakiri kuwa huyo mtu aloandika barua anamjua.
Sawa,tukamwambia basi tunaandika barua ya kujibu posa,sista akasema sawa.
Mie nikamuuliza je mahari yako unataka kiasi gani?(Katik uislam bint/muolewaji ndo hutaja MAHARI YAKE).
Sista akataja kiwango cha chini kabisa,mama zake wakubwa,mama zake wadogo wakamaind y so little?
Akasema ndo hyohyo mie nshasema na haiongezeki,kama mnataka mikaja na makorokoro mengine yatakatwa humohumo.
Kweli ndoa ikafungwa kwa kiasi kilekile alichokitaja.
 
Ni hivi,mwanamke ndo huwa anapromote kuwa yeye ni BIKRA,sio kwamba mwanaume huiulizia,Kwa mfano
Sasa hakuna MTU asopenda kuendesha gari mpya,ila umaskini ndo hufanya watu wanunue used one,kama alimwambia jamaa kuwa yeye ni bikra hilo linamhamasisha zaidi mwanaume.
Kwa mantiki hiyo basi isipokutwa ina maana WAKAT WA MAHUSIANO YAKO KUELEKEA NDOA KUNA MTU ATAKUA AMEIVUNJA.
Si kwamba wanaume huzililia bikra,ila wanaume huumizwa na hali ya kukosekana UAMINIFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…