Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Nimekudharau kumbe najisumbua kuelekea mbumbumbu mambo ya kiufundi ya football
Mabingwa wanakipiga huko CAFCL robo fainali, utopwinyo de πΈπΈ mpo huko?Bingwa wa ligi ambayo 5imba inashiriki
Na 5imba akalazimika kucheza shirikisho
Sawa chura wa kijani, unaona umetoa bonge la thread, paka weweNiambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba?
Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
View attachment 3289146
Weka huko ignore umechelewa dogoWewe ni kilaza usiyejua chochote kuhusu soka,ndio maana popoma hupenda kuuliza chuo ulichosoma kabla ya kukujibu,umeacha hoja umerukia upuuzi baada ya kushindwa hoja,ni kilaza wa mpira asiyejua aina mbali mbali za CM,umeleta mambo ya namba,nimekujibu kupitia upuuzi wako wa namba,umerukia mambo usiyo na ufahamu nayo, ignore button inakuhusu mtu mwenye akili ndogo kama yako
Tumeishia group stage kwenye mashindano ambayo 5imba hamkushiriki kutoka na uweZo mdogo mliokuwa naoMabingwa wanakipiga huko CAFCL robo fainali, utopwinyo de πΈπΈ mpo huko?
Mmeishia group stage kwa sababu ya timu mbovu inayotwaa ubingwa wa NBCPL kwa kununua ππTumeishia group stage kwenye mashindano ambayo 5imba hamkushiriki kutoka na uweZo mdogo mliokuwa nao
Sasa mpo kwenye mashindano ya netball
Ndiyo si tunanua hadi 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Mmeishia group stage kwa sababu ya timu mbovu inayotwaa ubingwa wa NBCPL kwa kununua ππ
Baada ya kupiga 5 kwa Simba ziliwafikisha wapi?Ndiyo si tunanua hadi 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Zilitupeka club bingwa huku 5imba akicheza UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mamaBaada ya kupiga 5 kwa Simba ziliwafikisha wapi?
Baada ya kufika CAFCL mkaangukia pua πππZilitupeka club bingwa huku 5imba akicheza UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
Hatukuangikia piaBaada ya kufika CAFCL mkaangukia pua πππ
Mwaniwane huko CAFCL mlidandia mtunbwi wa vibwengo sio level yenu huko hamnaga cha bahasha
Unaonekana hufuatilli mpira yaani umekariri.Umetumia vigezo gani kusema hao uliowataja wana quality kuliko A.villa wakati kuna wengine hapo A.villa aliwazidi kwenye msimamo wa ucl? Huwezi kuwa bora kama umetolewa. A.villa ni bora na inaweza kuwatoa wale waliowatoa uliowataja.Hujui mpira
Aston villa aliye fuzu robo final anawazidi quality Man City, Liverpool, Ac Milan na Atletico Madrid
Kwa akili kama hizi sikujibu tena nishajua nipo najibizana na mtu asiye na uelewa wowoteUnaonekana hufuatilli mpira yaani umekariri.Umetumia vigezo gani kusema hao uliowataja wana quality kuliko A.villa wakati kuna wengine hapo A.villa aliwazidi kwenye msimamo wa ucl? Huwezi kuwa bora kama umetolewa. A.villa ni bora na inaweza kuwatoa wale waliowatoa uliowataja.
Mabingwa wanakipiga huko CAFCL robo fainali ila huyu na utopwinyo mabingwa wa kusambaza bahasha mnakipiga na nani?Hatukuangikia pia
Tulishiriki CAFCL vip 5imba yupo mashindano gani mbona mnaona aibu kuyataja
Mimi mwenyewe naandika mara ya mwisho naona uelewa wako ni mdogo. Kwa hiyo klabu au national team ranking inaangalia uchumi ,kocha na aina ya wachezaji? Kwa hiyo msimu leicester city aliochukua ubingwa wa epl hakuwa bora kisa kuna timu zilimzidi uchumi, uzito wa kocha na aina ya wachezaji? Duh kwa heri.Kwa akili kama hizi sikujibu tena nishajua nipo najibizana na mtu asiye na uelewa wowote
Yaani unailinganisha quality ya Aston Villa na Liverpool au Man City kuanzia wachezaji, makocha, uchumi n.k
Kwenye mpira unaweza ukapoteza michezo licha ya ubora wako na ni jambo la kawaida
Sawa mwananchiMwaka Jana nenda kawaulize Mamelod
Kwa msaada wa MunguAise kwanii Israel Mwenda na Clatous Chama wamefikaje huko
Hawa watu kupona hawawezi Ila tatizo tunajua lilipo..Utopolo hamponi tyuh? Hii sasa sio Malaria, ni Cancer. Lol
Poleeeni, πππππ
Msaada wa Mungu yupi?K
Kwa msaada wa Mungu