Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Mhhh..
Hizo karata unazichangaje vizuri!? Na unajuaje km ushazichanga vizuri!? Mambo ya ndoa navona hayatabiriki
Kuna mambo kadhaa Wanaume huwa tunayazingatia kabla ya kufanya uamuzi wa Kuoa.

Mambo hayo Kwa sehemu kubwa uki-mess ndiyo huleta shida kwenye Ndoa hata kama umeona ukiwa na umri wangu wa miaka 78😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…