Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Unaweza kunishambulia kwa maneno makali lkn huo ndiyo ukweli. Msichana mzuri na mwenye tabia njema hafikishi 25 bila kuolewa. Atalazimishws na pressure ya waoaji kwa gharama yoyote ile
Upo sahihi mkuu
 
Huu Ni ukweli mchungu kwa shemale over 25+...
Dada zangu,shangazi zangu na binamu walikuwa wakiolewa tu wakimaliza primary kipindi iko kana wahuni walkua wanasubiriπŸ˜„πŸ˜„

Ila familia jiranii Sasa😒😒😒😭
 
raraa reree 😬😬😬😬😬
Punguz speed kidogo
 

Attachments

  • Screenshot_20230324-223210.png
    47 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230324-223200.png
    46.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230324-223153.png
    48 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230324-223143.png
    46.8 KB · Views: 6
Kwa jamii za kiafrica, nakuunga mkono mia mia, ukiona mdada above 30 hajaolewa ujue anachangamoto hasa tabia, ila kwa wenzetu wa magharibi wao ndoa si kipaumbele regardless ya uzuri wa shepu, sura ama tabia.
Vipi kuhusu 'bahati' ? Yaani kutokuwa na bahati ya kuolewa. Hii haipo?
 
TATIZO siku izi hamna SUBMISSIVE WOMAN ANAWEZA AKAWA NA ELA NA WEWE PIA UNA ELA ,ILA MWISHO WA SIKU WHAT IS SHE BRINGING TO THE TABLE!!!?IS SHE CARING FOR YOU,IS SHE COOKING FOOD FOR YOU ,IS SHE RESPONSIBLE FOR MAKING SURE EVERYTHING IS GOING WELL IN THE HOUSE EVEN IF SHE IS BUSY AT LEAST ONCE A WEEK IF YOU KNOW WHAT I MEAN ....SIKU IZI WANAWAKE WA IVYO NI WACHACHE SANA MWANAMKE NI SUPERVISOR WA FAMILIA ILA MWANAUME NDIO KIONGOZI SASA SUPERVISOR AKIZINGUA INAKUWA SHIDA
 
Mhh πŸ‘€πŸ‘€
 
Hey give me a break
 
Ushauri murua✊πŸ”₯
Mungu ndo kimbilio
 
Hii ni kweli
Na haya yote yamemkuta ndugu yangu acha awe singo maza ili akomae vizuri kisa kimshahara chake cha 6m ndo ajikute kidume kwenye nyumba ya mwanaume bladfakeni tu 😬😬😬

Nasemaje watapata tabu sana
 
Kuna mwamba hapo juu kakupinga kwa uchungu sana ...bila shaka atakua na madada wengi sana wanazagaa zagaa tu nyumbambani au ana mabinti debe Saba na visado vitatu wanaranda randa ru nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yap TATIZO wanawake wengi wanahisi ishu ni pesa tu kwenye mapenzi kumbe Kuna wajibu wake kama mwanamke inabidi afanye sio Kila kitu msichana wa kazi mtu MWINGINE anakuacha tu yaan
Hii ni kweli
Na haya yote yamemkuta ndugu yangu acha awe singo maza ili akomae vizuri kisa kimshahara chake cha 6m ndo ajikute kidume kwenye nyumba ya mwanaume bladfakeni tu 😬😬😬

Nasemaje watapata tabu sana
 
Pick ya uzuri wa binti huwa inafika kikomo umri gani mkuu King Kong III ? Ina onesha mwanamke akifika 30 bila ndoa, automatically chance ya kuolewa inapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…