Tena huyo mme wake ndo alitoka na mfanyakazi sasa daaah πππ aseeYap TATIZO wanawake wengi wanahisi ishu ni pesa tu kwenye mapenzi kumbe Kuna wajibu wake kama mwanamke inabidi afanye sio Kila kitu msichana wa kazi mtu MWINGINE anakuacha tu yaan
Huu uzi ni fire Ritchy Breezy mkuuKuna raia ztapingaππ
Mtoa thread kapiga kwenye mshono
Sjawai comment Mara nyingi tangu nijiunge JF Ila leoπHuu uzi ni fire Ritchy Breezy mkuu
........with no doubt, hili ni sahihi asilimia mia, sema umeandika kibabe sana......Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Ulifunga leo sindiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au?Na sio wenye sura mbaya na hatujaolewa na tuna 30 mnatuanbiaje
Mie Tena nilifungaUlifunga leo sindiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au?
πππ we haya tu, mimi nakuzoom tuπππMie Tena nilifunga
Kategeka kweli[emoji23][emoji23][emoji23], ila na nyie kwanini mnapendwa kuumizwa wakati unajua atakujibu vibaya tu. Muwe mnapotezea, wengi wawanaume tumegeuka women haters sijui kwanini.Acha kutisha watu wewe mdada/mkaka...mbona unafanya maisha kuwa complicated sana..unaishi dunia ya wapi? By the way niliuliza tuu nikusikie...watu wameolewa na ni wazuriii still waume zao wanachepuka.
Chief hayo ni matusi sasa, tena ya waziwazi. Wanaume hatuchambi tunaelekeza na kufundisha!Hakuna mwanamke wa JF ambaye kaolewa. Wote ni malaya wa mjini.
Duuh eti na kugongwa gongwa ππ.Umeyasema yote kabisa mkuuu
Na jinsi hawa ke wanavyo fake life
π€£π€£π€£π€£ Hee hutaamini asee
Mi nina ndugu ana 30 mkuuu hana dalili yoyote kazi kushinda club weekend na kugongwa gongwa tu kama sijui nn
Daah huyu mwendo kaumaliza kwakeli
Rare casesVipi kuhusu 'bahati' ? Yaani kutokuwa na bahati ya kuolewa. Hii haipo?
Noted!Rare cases
Mi mwenyewe kuna family friend ana 57 hivyo hivyo mkuuu sema yy kaamua kuolewa na muosha magariDuuh eti na kugongwa gongwa ππ.
Yupo binamu yangu mmoja yeye ana pesa ya kutosha sasa ilifika kipindi wanaume akawa ana amua yeye yupi awe nae na wakati gani, kiufupi pesa ilikuwa inaongea, maswala ya ndoa yeye hakutaka kusikia kabisa alikuwa anataka uhuru wa kujiamulia na kufanya mambo yake.
Hivi ninavyoongea si zaidi ya miaka mitatu ana turn 50 , anataka ndoa lakini hakuna wa kuoa, watu wanapita hiviii.
ππππ Daaah aseeeSintasahau na naomba nishauri kitu kwa wanaume wote wanaohitaji kuoa kupitia ushuhuda wangu .Mdada yeyote awe kanisa ni au msikitini alifikisha umri wa miaka 30 tafadhali jibe muda wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kumuoa.Sisemi usimuoe mpe muda wa kusoma haswa.Mimi yalinipata yafuatayo na nilikurupuka na kuzuzuliwa na uzuri wake .
1.Nikoswa koswa kuchomwa kisu mara tatu ndoa ikiwa na mwezi mmoja.
2.Kabla yangu aliwahi kuwa na wanaume wakutosha ambao wengine alikula vyao wakaahidi kumkomesha baada ya kusikia amefunga ndoa alichezewa kimazingara hatari.
Kama ambavyo umeandika hapo ndugu mtangazaji, huyo jamaa hua haieleweki ni jinsia gani mara ni wa kiume mara ni wakike hvy n sahihi kumuweka kwenye mabano ya (mdada/mkaka) kwa ujumla tunaweza kusema huyu jamaa ni shoga.Acha kutisha watu wewe mdada/mkaka...mbona unafanya maisha kuwa complicated sana..unaishi dunia ya wapi? By the way niliuliza tuu nikusikie...watu wameolewa na ni wazuriii still waume zao wanachepuka.
Watu wanamaliza chuo na 21 mkuuh
Acha ushamba hio 25 mbali sana