Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Yap TATIZO wanawake wengi wanahisi ishu ni pesa tu kwenye mapenzi kumbe Kuna wajibu wake kama mwanamke inabidi afanye sio Kila kitu msichana wa kazi mtu MWINGINE anakuacha tu yaan
Tena huyo mme wake ndo alitoka na mfanyakazi sasa daaah 😂😂😂 asee

Ni Kama vile ulikuwepo
 
Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
........with no doubt, hili ni sahihi asilimia mia, sema umeandika kibabe sana......
 
Acha kutisha watu wewe mdada/mkaka...mbona unafanya maisha kuwa complicated sana..unaishi dunia ya wapi? By the way niliuliza tuu nikusikie...watu wameolewa na ni wazuriii still waume zao wanachepuka.
Kategeka kweli[emoji23][emoji23][emoji23], ila na nyie kwanini mnapendwa kuumizwa wakati unajua atakujibu vibaya tu. Muwe mnapotezea, wengi wawanaume tumegeuka women haters sijui kwanini.
 
Umeyasema yote kabisa mkuuu

Na jinsi hawa ke wanavyo fake life

🤣🤣🤣🤣 Hee hutaamini asee

Mi nina ndugu ana 30 mkuuu hana dalili yoyote kazi kushinda club weekend na kugongwa gongwa tu kama sijui nn

Daah huyu mwendo kaumaliza kwakeli
Duuh eti na kugongwa gongwa 😂😂.

Yupo binamu yangu mmoja yeye ana pesa ya kutosha sasa ilifika kipindi wanaume akawa ana amua yeye yupi awe nae na wakati gani, kiufupi pesa ilikuwa inaongea, maswala ya ndoa yeye hakutaka kusikia kabisa alikuwa anataka uhuru wa kujiamulia na kufanya mambo yake.

Hivi ninavyoongea si zaidi ya miaka mitatu ana turn 50 , anataka ndoa lakini hakuna wa kuoa, watu wanapita hiviii.
 
Sintasahau na naomba nishauri kitu kwa wanaume wote wanaohitaji kuoa kupitia ushuhuda wangu .Mdada yeyote awe kanisa ni au msikitini alifikisha umri wa miaka 30 tafadhali jibe muda wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kumuoa.Sisemi usimuoe mpe muda wa kusoma haswa.Mimi yalinipata yafuatayo na nilikurupuka na kuzuzuliwa na uzuri wake .

1.Nikoswa koswa kuchomwa kisu mara tatu ndoa ikiwa na mwezi mmoja.
2.Kabla yangu aliwahi kuwa na wanaume wakutosha ambao wengine alikula vyao wakaahidi kumkomesha baada ya kusikia amefunga ndoa alichezewa kimazingara hatari.
 
Mi mwenyewe kuna family friend ana 57 hivyo hivyo mkuuu sema yy kaamua kuolewa na muosha magari

Mwaka jana huyu mbibi ana apartment 9 mkuuu na duka la vipodozi kwa siku ana minya kitu kama 600k sema ndoivyo kaamua kuwa submissive kwa muosha magari wake

Na mwanaume anamuendesha kama nn daaaah we acha tu mkuuu haya mambo haya yanawaumizaga sana japo wanajifurahishaga kinafki tu 😬
 
Sintasahau na naomba nishauri kitu kwa wanaume wote wanaohitaji kuoa kupitia ushuhuda wangu .Mdada yeyote awe kanisa ni au msikitini alifikisha umri wa miaka 30 tafadhali jibe muda wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kumuoa.Sisemi usimuoe mpe muda wa kusoma haswa.Mimi yalinipata yafuatayo na nilikurupuka na kuzuzuliwa na uzuri wake .

1.Nikoswa koswa kuchomwa kisu mara tatu ndoa ikiwa na mwezi mmoja.
2.Kabla yangu aliwahi kuwa na wanaume wakutosha ambao wengine alikula vyao wakaahidi kumkomesha baada ya kusikia amefunga ndoa alichezewa kimazingara hatari.
😂😂😂😂 Daaah aseee
 
Acha kutisha watu wewe mdada/mkaka...mbona unafanya maisha kuwa complicated sana..unaishi dunia ya wapi? By the way niliuliza tuu nikusikie...watu wameolewa na ni wazuriii still waume zao wanachepuka.
Kama ambavyo umeandika hapo ndugu mtangazaji, huyo jamaa hua haieleweki ni jinsia gani mara ni wa kiume mara ni wakike hvy n sahihi kumuweka kwenye mabano ya (mdada/mkaka) kwa ujumla tunaweza kusema huyu jamaa ni shoga.

Sexless
 
Watu wanamaliza chuo na 21 mkuuh

Acha ushamba hio 25 mbali sana

Watoto wa siku hizi wajinga wajinga utaolewa na miaka 25 kabla hata hujajua unaendawapi kwenye maisha. Ni wasichana wangapi wana degree na kazi chini ya miaka 25? Olewa na miaka 25 utakuwa wa kuolewa kila baada ya miaka mitano wa wanaume tofauti. Pili ni ngumu kupata kijana na kiume anaye jielewa chini ya 30! Utapata wakuruka ruka na kuvaa wigi kama wakina Rayvan. Fuata unayotaka ladyboy .
 
Sina sura nzuri, Sina tako, tabia nzuri pia Sina, ila wajuba walianza kutaka kunioa nilivyomaliza form 4🤣🤣🤣 Mzee wangu akakaza haolewi mtu Hadi nimalize chuo, Niko first year posa hii hapa, mwenyewe nikakaza ndoa Hadi nimalize chuo, nimemaliza chuo tu ndoa🤣
Hadi Sasa nipo ndoani Kuna wajuba bado wanatamani nitoke waniwowe tena🤣🤣🤣🤣🤣 mtoa mada Mimi ni nani?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom