KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Tena huyo mme wake ndo alitoka na mfanyakazi sasa daaah 😂😂😂 aseeYap TATIZO wanawake wengi wanahisi ishu ni pesa tu kwenye mapenzi kumbe Kuna wajibu wake kama mwanamke inabidi afanye sio Kila kitu msichana wa kazi mtu MWINGINE anakuacha tu yaan
Ni Kama vile ulikuwepo