Mungu hana munda wakupanga ndoa. Hayo ni maamuzi yako.Tabia mbovu sawa ila kama wana sura mbovu kosa ni la nani? Wao wana kosa gani na hawakujiumba?
Kuna mada zingine ni za kuwaumiza wanawake kisaikolojia tu
U could feel their pain kama ungekuwa Mwanamke above 25 with no hubby
Then kwenye maisha kila kitu ni mipango ya Mungu hata Ndoa.
WrongMuonekano mzuri ambao wanaume 10 wakimuona 7/8 watasema Ni mzuri...
Tabia: mienendo mizuri utakuta hajirahisishi mbele ya mwanaume eg.kujichekeshachekesha,kauli na mavazi
Acha kujenga hoja zako kwa kumshirikisha Mungu!Muogope Mungu. Ishi kama mtu mwenye kujuwa vile Mungu anafanya kazi. Sio kila mtu ataolewa wala sio kila mtu ataowa. Wapo wanawake wazuri na wenye adabu hawana waume na wanahaha na madangwa yao hwuwez amini ila wapo pia wanaume handsome hawawez Kaa ma mke. Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu huvuna. End
Unapofikiria kuhusu ndoa inabidi utumie ubongo....ukiingia kwenye ndoa na 30 pigia hesabu mwanao wa kwanza let say umempata mwaka wa pili wa ndoa atamaliza Elimu ya juu wewe umefika 55 huko wengine wewe uko 60 katika wakati huo wanao wanahitaji backup za kutosha kiuchumi wewe ushazeeka, 22 ndio umri standard mwanamke kuolewa na mwanaume 26/27 at leastUpo na miaka mingapi kwa ndoa?
Huwa nawaambia watu, kuoa/kuolewa mapema hata sio dili, upo 22 unakimbilia ndoa, by the tume unafika 35 upo hoi huitamani tena ndoa.
Ndoa zina ups and downs nyingi, changamoto zake ni nyingi, walau mtu awe 30 hivi ndio aingie kwenye mbilinge za ndoa, disadvantage yake ni moja tu kuwa utapata watoto kwa kuchelewa.
Mkuu ktk hili mnaenda mbali sana mpk mnaingilia kudra na Majaliwa ya mwenyezi Mungu. Nadhani tukomae na issue ya afya ya uzazi tu kwa mwanamke kuwa iko vizuri 20-35. Ktk umri huo mwanamke awe amemaliza kuzaa.Unapofikiria kuhusu ndoa inabidi utumie ubongo....ukiingia kwenye ndoa na 30 pigia hesabu mwanao wa kwanza let say umempata mwaka wa pili wa ndoa atamaliza Elimu ya juu wewe umefika 55 huko wengine wewe uko 60 katika wakati huo wanao wanahitaji backup za kutosha kiuchumi wewe ushazeeka, 22 ndio umri standard mwanamke kuolewa na mwanaume 26/27 at least
Safi sana mkuuSipo hapa kujitetea hili ni jukwaa la kuelimishana, nina watoto 3 wa mwisho ana 3 years, nina ndoa yenye Furaha kwa sababu I live my life hata watu wengine nawashauri hivyo, ishi maisha yako na uwajibike na maamuzi utakayoyafanya, hakuna anaehusika na kufeli kwangu kwenye kitu chochote, wanawake wasitiwe hofu wakajikuta wanaingia kwenye ndoa ya majuto eti kwa sababu umri umeenda, Mwanamke wawekeze kwenye akili, uzuri una kikomo maarifa hayana kikomo.
Mkuu sijasema uchumi utakuwa mgumu kwenye 55 nimemaanisha kuwa na afya amini mzazi mwenye 60 tofauti na mzazi mwenye 45 in physical fitness endapo wote Wana uchumi sawa huyu mzazi mwwnyw 45 ana nguvu za kutosha kumsimamia na kumuongoza mtoto.Mkuu ktk hili mnaenda mbali sana mpk mnaingilia kudra na Majaliwa ya mwenyezi Mungu. Nadhani tukomae na issue ya afya ya uzazi tu kwa mwanamke kuwa iko vizuri 20-35. Ktk umri huo mwanamke awe amemaliza kuzaa.
Lkn kuongelea habari ya kwamba umri wa miaka 55 kwenda mbele uchumi utakuwa mgumu siyo kweli. Vipi kama ktk kipindi hicho wazazi ndiyo watakuwa wametajirika?
Na ushawahi kufikiria kuwa hata waliozaa wakiwa wadogo 20/23 kuwa wanaweza kufariki wakiwa na 25/27? Au licha ya kifo wanaweza kupata vilema vya kudumu, magonjwa ya kudumu, n.k
Hakuna anayejua mipango na kudra za mnyaazi Mungu.
Umekaza fuvu Sana aiseHivi Mwanamke akichukua sura ya Baba yake ndio lazima awe mbaya?
MunaposemaTabia mbovu sawa ila kama wana sura mbovu kosa ni la nani? Wao wana kosa gani na hawakujiumba?
Kuna mada zingine ni za kuwaumiza wanawake kisaikolojia tu
U could feel their pain kama ungekuwa Mwanamke above 25 with no hubby
Then kwenye maisha kila kitu ni mipango ya Mungu hata Ndoa.
Si kweli..Zali si mzuri kwa kila mwanaume chiefWrong
1)mwanamke mzuri kati ya wanaume 100 wakimuona wote 100 wanamuona ni mzuri mfano Zari yule wa Mond mwanaume asiyemuona mzuri ni anataka ubishani tu...sio kwamba zari mzuri kuzidi wote nimetumia msanii iwe rahisi nikisema Aisha wa mtaani kwetu humjui
2)Tabia mzuri Ni kuwa na utu na utulivu,....utu na utulivu ndani yake ina inchude vingi ikkwemo heshima
Mwanamke akiwa na sifa hizi mbili ni alamasi
Aina ya wanaume wengi hawana Cha kuoffer mabinti zao zaidi ya kuwaozesha.Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.
Munachanganya Sana kati ya Uzuri na Kupenda....uzuri ni sifa ya kitu kilamtu akiona ata realize kizuri ila anaweza asikipende wewe unachosungumzia Kupenda hata mimi simpendi zari ila na kubali ni mzuri.Si kweli..Zali si mzuri kwa kila mwanaume chief
Kuhusu tabia:mavazi include+utu&utulivu=✓
hahahaha,duhMsichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Yes yes, wao ni bata batani kwa kwenda mbele na ni warembo, halafu kichwani wapo njema na maisha wameyapatia.Sio kila mtu anataka kuolewa dada ukiolewa wewe inatosha na familia yako.Afu haya mambo yapo bongo tu yakufatiliana,huko US kuna wanawake wenye uzuri wa asili kibao na hawaolew ndio tuseme wanasura za baba yao!
Huko US ndiko usagaji ulikoanzia. Isiwe zuzu wa kuamini kila kinachofanywa US basi ni kizuri. What is US by the way? Kwahiyo unataka usiolewe ili uuze nyapu au usagane?Sio kila mtu anataka kuolewa dada ukiolewa wewe inatosha na familia yako.Afu haya mambo yapo bongo tu yakufatiliana,huko US kuna wanawake wenye uzuri wa asili kibao na hawaolew ndio tuseme wanasura za baba yao!
Obvious what next broHivi Mwanamke akichukua sura ya Baba yake ndio lazima awe mbaya?
Nikiona operation "kataa ndoa" kwenye moja na mbili huwa nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji14]25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..
NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..
KATAAA NDOAAAAAA...