Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Tabia mbovu sawa ila kama wana sura mbovu kosa ni la nani? Wao wana kosa gani na hawakujiumba?

Kuna mada zingine ni za kuwaumiza wanawake kisaikolojia tu

U could feel their pain kama ungekuwa Mwanamke above 25 with no hubby

Then kwenye maisha kila kitu ni mipango ya Mungu hata Ndoa.
Mungu hana munda wakupanga ndoa. Hayo ni maamuzi yako.
Yeye ametupa muongozo wa jinsi ya kuishi na uhuru wa kuchagua. Hampangiliii mtu maisha
 
Muonekano mzuri ambao wanaume 10 wakimuona 7/8 watasema Ni mzuri...
Tabia: mienendo mizuri utakuta hajirahisishi mbele ya mwanaume eg.kujichekeshachekesha,kauli na mavazi
Wrong

1)mwanamke mzuri kati ya wanaume 100 wakimuona wote 100 wanamuona ni mzuri mfano Zari yule wa Mond mwanaume asiyemuona mzuri ni anataka ubishani tu...sio kwamba zari mzuri kuzidi wote nimetumia msanii iwe rahisi nikisema Aisha wa mtaani kwetu humjui

2)Tabia mzuri Ni kuwa na utu na utulivu,....utu na utulivu ndani yake ina inchude vingi ikkwemo heshima

Mwanamke akiwa na sifa hizi mbili ni alamasi
 
Muogope Mungu. Ishi kama mtu mwenye kujuwa vile Mungu anafanya kazi. Sio kila mtu ataolewa wala sio kila mtu ataowa. Wapo wanawake wazuri na wenye adabu hawana waume na wanahaha na madangwa yao hwuwez amini ila wapo pia wanaume handsome hawawez Kaa ma mke. Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu huvuna. End
Acha kujenga hoja zako kwa kumshirikisha Mungu!
Mungu ametuumba tuoane,
Hakuna mtu ambae Mungu amemnyima mke au mume!
Aina ya maisha tunayoishi, (maumbile, hulka, dini, n.k) ndio yanayotuexpose kwenye karma ya kuolewa au kutoolewa, kuoa au kutoka!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Upo na miaka mingapi kwa ndoa?

Huwa nawaambia watu, kuoa/kuolewa mapema hata sio dili, upo 22 unakimbilia ndoa, by the tume unafika 35 upo hoi huitamani tena ndoa.

Ndoa zina ups and downs nyingi, changamoto zake ni nyingi, walau mtu awe 30 hivi ndio aingie kwenye mbilinge za ndoa, disadvantage yake ni moja tu kuwa utapata watoto kwa kuchelewa.
Unapofikiria kuhusu ndoa inabidi utumie ubongo....ukiingia kwenye ndoa na 30 pigia hesabu mwanao wa kwanza let say umempata mwaka wa pili wa ndoa atamaliza Elimu ya juu wewe umefika 55 huko wengine wewe uko 60 katika wakati huo wanao wanahitaji backup za kutosha kiuchumi wewe ushazeeka, 22 ndio umri standard mwanamke kuolewa na mwanaume 26/27 at least
 
Mkuu ktk hili mnaenda mbali sana mpk mnaingilia kudra na Majaliwa ya mwenyezi Mungu. Nadhani tukomae na issue ya afya ya uzazi tu kwa mwanamke kuwa iko vizuri 20-35. Ktk umri huo mwanamke awe amemaliza kuzaa.

Lkn kuongelea habari ya kwamba umri wa miaka 55 kwenda mbele uchumi utakuwa mgumu siyo kweli. Vipi kama ktk kipindi hicho wazazi ndiyo watakuwa wametajirika?

Na ushawahi kufikiria kuwa hata waliozaa wakiwa wadogo 20/23 kuwa wanaweza kufariki wakiwa na 25/27? Au licha ya kifo wanaweza kupata vilema vya kudumu, magonjwa ya kudumu, n.k

Hakuna anayejua mipango na kudra za mnyaazi Mungu.
 
Sipo hapa kujitetea hili ni jukwaa la kuelimishana, nina watoto 3 wa mwisho ana 3 years, nina ndoa yenye Furaha kwa sababu I live my life hata watu wengine nawashauri hivyo, ishi maisha yako na uwajibike na maamuzi utakayoyafanya, hakuna anaehusika na kufeli kwangu kwenye kitu chochote, wanawake wasitiwe hofu wakajikuta wanaingia kwenye ndoa ya majuto eti kwa sababu umri umeenda, Mwanamke wawekeze kwenye akili, uzuri una kikomo maarifa hayana kikomo.
Safi sana mkuu
 
Mkuu ktk hili mnaenda mbali sana mpk mnaingilia kudra na Majaliwa ya mwenyezi Mungu. Nadhani tukomae na issue ya afya ya uzazi tu kwa mwanamke kuwa iko vizuri 20-35. Ktk umri huo mwanamke awe amemaliza kuzaa.

Lkn kuongelea habari ya kwamba umri wa miaka 55 kwenda mbele uchumi utakuwa mgumu siyo kweli. Vipi kama ktk kipindi hicho wazazi ndiyo watakuwa wametajirika?

Na ushawahi kufikiria kuwa hata waliozaa wakiwa wadogo 20/23 kuwa wanaweza kufariki wakiwa na 25/27? Au licha ya kifo wanaweza kupata vilema vya kudumu, magonjwa ya kudumu, n.k

Hakuna anayejua mipango na kudra za mnyaazi Mungu.
Mkuu sijasema uchumi utakuwa mgumu kwenye 55 nimemaanisha kuwa na afya amini mzazi mwenye 60 tofauti na mzazi mwenye 45 in physical fitness endapo wote Wana uchumi sawa huyu mzazi mwwnyw 45 ana nguvu za kutosha kumsimamia na kumuongoza mtoto.

Pia sio kweli kuwa nimeingilia KUDRA za Mungu hio ni mioango ya kibinadamu na hakuna palipomkosea Mungu inatakiwa upange hivyo hio ndio jukumu lako suala la utakufa kabla au kuumwa hilo sio jukumu lako ni kazi ya Mungu pekee unachoweza ni kuomba umri mrefu na afya ila sio usipange na kutenda.

Mimi nimoja ya watu wanaojifunza Sana Mungu anatendaje kazi zake, mipaka ya human plan na God plan ipoje....moja ya plan yangu mwanangu wakwanza amalize chuo nikiwa na 46 hivi Mungu akinichukua before huo umri, au kumchukua mtoto nk hio Ni plan yake sio yangu Mimi
 
Tabia mbovu sawa ila kama wana sura mbovu kosa ni la nani? Wao wana kosa gani na hawakujiumba?

Kuna mada zingine ni za kuwaumiza wanawake kisaikolojia tu

U could feel their pain kama ungekuwa Mwanamke above 25 with no hubby

Then kwenye maisha kila kitu ni mipango ya Mungu hata Ndoa.
Munaposema

1)Mwanaume Hana pesa

2)Mwanaume kibamia nk

Kwani hua hamuingiliii mipango ya Mungu
 
FA5F45A5-9DA1-45E4-B247-EA0A72E23E73.jpeg

Naona kikao chenu kimefana!
 
Wrong

1)mwanamke mzuri kati ya wanaume 100 wakimuona wote 100 wanamuona ni mzuri mfano Zari yule wa Mond mwanaume asiyemuona mzuri ni anataka ubishani tu...sio kwamba zari mzuri kuzidi wote nimetumia msanii iwe rahisi nikisema Aisha wa mtaani kwetu humjui

2)Tabia mzuri Ni kuwa na utu na utulivu,....utu na utulivu ndani yake ina inchude vingi ikkwemo heshima

Mwanamke akiwa na sifa hizi mbili ni alamasi
Si kweli..Zali si mzuri kwa kila mwanaume chief

Kuhusu tabia:mavazi include+utu&utulivu=✓
 
Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.
Aina ya wanaume wengi hawana Cha kuoffer mabinti zao zaidi ya kuwaozesha.
 
Si kweli..Zali si mzuri kwa kila mwanaume chief
Munachanganya Sana kati ya Uzuri na Kupenda....uzuri ni sifa ya kitu kilamtu akiona ata realize kizuri ila anaweza asikipende wewe unachosungumzia Kupenda hata mimi simpendi zari ila na kubali ni mzuri.

Mfano Range Rover Velar hili gari ni zuri kwa kilamtu akiliona hata mtu asiyejua exacty linaitwaje kwa jina Kama watu 100 wameliona RR Velar 100 wote wataliona zuri ila kwenye Kupenda wanaweza hawa 100 wote wakiambiwa wachague magari wa ayoyapenda hawatakichagua hii haivunjo maana kuwa RR Velar ni zuri.

So, mwanamke mzuri ni universe popote pale Duniani ukimpeleka kilamtu moyo utasema huyu mzuri ila kwenye KUMPENDA Happ ndio kilamtu yupo na sifa zake....Kuna manzi nilikuwanae chuo jamaa walikuwa wanamwita "Yule demu mmh changamoto" ni Basi kibinadamu hatuwezi sema binadamu mbaya ila hakuwa mzuri Mimi nilimpenda na kuwa na hisia nae vibaya

Unachozunngumzia wewe Kupenda sio uzuri watu wengi wanachanganya hivi
Kuhusu tabia:mavazi include+utu&utulivu=✓
 
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
hahahaha,duh
 
Sio kila mtu anataka kuolewa dada ukiolewa wewe inatosha na familia yako.Afu haya mambo yapo bongo tu yakufatiliana,huko US kuna wanawake wenye uzuri wa asili kibao na hawaolew ndio tuseme wanasura za baba yao!
Yes yes, wao ni bata batani kwa kwenda mbele na ni warembo, halafu kichwani wapo njema na maisha wameyapatia.

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila mtu anataka kuolewa dada ukiolewa wewe inatosha na familia yako.Afu haya mambo yapo bongo tu yakufatiliana,huko US kuna wanawake wenye uzuri wa asili kibao na hawaolew ndio tuseme wanasura za baba yao!
Huko US ndiko usagaji ulikoanzia. Isiwe zuzu wa kuamini kila kinachofanywa US basi ni kizuri. What is US by the way? Kwahiyo unataka usiolewe ili uuze nyapu au usagane?

Hapa kwetu bado tuna maadili ndiyo maana tunamshangaa mwanamke asiyeolewa.

Tuna maadili bora kiasi kwamba hao waUS waliochanganyikiwa wanayatamani.

Upo shosti? Kama hujaolewa tafuta bwana acha kudanga
 
25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..

NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..

KATAAA NDOAAAAAA...
Nikiona operation "kataa ndoa" kwenye moja na mbili huwa nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom