Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Kuna jirani yangu hapa ako na 32 japokua anaishi na bibi yake ...ni hajui kitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. Loh na wengine nimeshuhudia kama wa5 hivi... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nina amini na wewe ni mwanamke.. una experience na uhalisia wa mwili wako unavyokuwa ukipita muda mrefu hujafanya tendo la ndoa.

Na unajua baada ya kuvunja ungo ilikuchukuwa muda gani kuvumilia mpaka ukasalenda ukavua kyupi.

Halafu from no where useme miaka 30 mwanamke awe na bikra yake. Labda awe roboti hana hormone za kike
 
Daah hawa singo maza kazi wanayo
 
A
Acha kukariri wewe kuolewa ni majaliwa ya Mungu au unadhani wanaume tunaoa tabia nzuri tu.Wanaume hatugombei wanawake tunagombea pesa.Kitoto cha miaka 15 up to 25yrs kitanipa nn zaidi ya stress?????Ngombe hazeeki maini afu nyama ya ngombe mzee ni tamu kwa matumizi binafsi.
 
Kwambaa.. Ukiwashwaa lazma ukunwee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚?

Ndio mwanamke anapata hormone imbalance akikaa muda mrefu bila kufanya tendo.. pia anakuwa na hana furaha muda mwingi..

Mwanamke aliyevunja ungo akikaa muda mrefu bila kufanya tendo Lazima apate depression, anxiety, and increased stress.

Hivyo hawezi kumudu kuvumilia hayo magonjwa kwa miaka mingi toka 12 mpaka miaka 30 bado awe bikra tu
 
Ilo sijakataa.. Na ndo maana nakwambia wapo mkuu.. Huyu jirani yangu naspend muda mwingi nae..๐Ÿ˜‚
 
Ni mzuri wa sura na umbo kubwa zaidi alikuwa na kazi nzuri na kwao ni mtoto wa mwisho. Nilizama kwenye penzi na kaamua nioe kabisa mapicha picha yalianza ya kutosha
Elezea vizuri basi

Mbona unaeleza nusu nusu mkuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ