Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna mkuu. Hata kama una dada zako au majirani lkn hawajaolewa at 25 walinganishe sura zao na zile za baba zao. Kama hawajafanana na baba zao nasimamia uwanja wa Mkapa uniite MBWA
Mi nina mtu namjua kweli ana sura ya baba

Ana miaka 30 bado anasema eti yy mdogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Daah namwonea huruma sana
 
Kwa jamii za kiafrica, nakuunga mkono mia mia, ukiona mdada above 30 hajaolewa ujue anachangamoto hasa tabia, ila kwa wenzetu wa magharibi wao ndoa si kipaumbele regardless ya uzuri wa shepu, sura ama tabia.
Umeyasema yote kabisa mkuuu

Na jinsi hawa ke wanavyo fake life

🀣🀣🀣🀣 Hee hutaamini asee

Mi nina ndugu ana 30 mkuuu hana dalili yoyote kazi kushinda club weekend na kugongwa gongwa tu kama sijui nn

Daah huyu mwendo kaumaliza kwakeli
 

karne hii hii ama karne zile za enzi za utawala wa kiSultani?
 
Nawashauri mabinti jitahidini mahusiano yenu ya nyege yawe Siri ili kuwapa fursa ya kuolewa. Unaliwa mara moja na mtu unaaza kumuita mume na kuanza kumuweka status siku ya valentine day.Tulizeni wenge muolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…