ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Halafu wewe na ugwadu wako utakula wapi mzeiyaSawa waolewe wakiwa na 40 ila wasigawe gawe utamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wewe na ugwadu wako utakula wapi mzeiyaSawa waolewe wakiwa na 40 ila wasigawe gawe utamu.
Ah wee nilishakwambia hapa jf wengine tunapiga porojo tuu lakini ukitukuta mtaani hatuna mbambambaHalafu wewe na ugwadu wako utakula wapi mzeiya
Wewe mbona unatangatanga hapo kwenu tu na miaka ni zaidi ya 30Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Jidanganye25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..
NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..
KATAAA NDOAAAAAA...
Miaka 21 tu niliamua kuolewa baada ya kutolewa posa na kuzikataa zaidi ya mia moja.Wewe mbona unatangatanga hapo kwenu tu na miaka ni zaidi ya 30
Mara wewe ni Me mara Ke! Ni shemale weweMiaka 21 tu niliamua kuolewa baada ya kutolewa posa na kuzikataa zaidi ya mia moja.
Ujue hiyo wala siyo akili ni ubishi. Msichanganye ubishi na akili.Ila Mwanamke akiwa na Akili Sana inaweza kuwa changamoto kwake kuolewa mapema maana kumpata Good match yake ni kipengele
Unao tu mbona Babu yangu alioa mke analingana na watoto wake, tena kamzidi huyo mke wake ambaye ni Bibi yetu miaka 30huyu jamaa wa ajabu sana
Kwa hivyo mimi niko 40s, nioe bint wa chini ya 25 kweli?
Wewe unaishi dunia hipi? Msichana wa miaka 15 bado mwanafunzi atagombaniwa vipi? Basi huyo ni kicheche! Mwanafunzi (akiwahi) anaanza darasa la kwanza miaka 6 anamaliza na miaka 12. Secondary 16. High school 18/19. Chuo miaka 3 ni 22. Umri sahihi kwa binti anayejitambua wa kukubari kuolewa ni kuanzia miaka 22. Kabla ya hapo ni kiruka njia!Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Uko sawa kabisa (kwa sauti ya babu mkombe)Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Si ndio mkuu, mimi kama nitaoa basi binti wa miaka 17 , nasemaje, bora kuoa mjane au mwenye watoto hata watatu lakini sio hawa wengine (japo sio wote)Waoaji kimya tunacheki mtanange kumbe napaswa kuoa under 25 ili nipate mzuri
sureIla Mwanamke akiwa na Akili Sana inaweza kuwa changamoto kwake kuolewa mapema maana kumpata Good match yake ni kipengele