Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Wewe mbona unatangatanga hapo kwenu tu na miaka ni zaidi ya 30
 
25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..

NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..

KATAAA NDOAAAAAA...
Jidanganye
 
Hiyo ni kweli wadogo zangu huwa wanawakataa wachumba lakini kutokana na pressure kubwa mwisho wa siku huwa wanakubali kuolewa kwa hili namshukuru mungu
 
Nimeolewa na miaka 33 cash, nikiwa nimetulia tulii, kuolewa ukiwa umekomaa akili hata kuendesha familia inakuwa rahisi, kuna mambo mengi unakuwa muelewa sana yaani, nina familia bomba sana tunaishi maisha ya amani kuliko hao walioolewa before 25.Yaani mimi ni mshauri wa ndoa nyingi za walioolewa kabla yangu.Mi naona Mwanamke aolewe akiwa 25 and above ataenjoy. Kama akiolewa kabla ya hapo sio vibaya ila atasota kidogo.
 
huyu jamaa wa ajabu sana
Kwa hivyo mimi niko 40s, nioe bint wa chini ya 25 kweli?
Unao tu mbona Babu yangu alioa mke analingana na watoto wake, tena kamzidi huyo mke wake ambaye ni Bibi yetu miaka 30
 
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Wewe unaishi dunia hipi? Msichana wa miaka 15 bado mwanafunzi atagombaniwa vipi? Basi huyo ni kicheche! Mwanafunzi (akiwahi) anaanza darasa la kwanza miaka 6 anamaliza na miaka 12. Secondary 16. High school 18/19. Chuo miaka 3 ni 22. Umri sahihi kwa binti anayejitambua wa kukubari kuolewa ni kuanzia miaka 22. Kabla ya hapo ni kiruka njia!
 
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Uko sawa kabisa (kwa sauti ya babu mkombe)

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Waoaji kimya tunacheki mtanange kumbe napaswa kuoa under 25 ili nipate mzuri
Si ndio mkuu, mimi kama nitaoa basi binti wa miaka 17 , nasemaje, bora kuoa mjane au mwenye watoto hata watatu lakini sio hawa wengine (japo sio wote)

Mabinti wengi aged 25+ wana mileage nyingi kuliko mama zao walio ndoani miaka 30

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom