Kaboya Kenneth
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 293
- 289
Kwani hela zako unatumia wapi?Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Kwani hela zako unatumia wapi?Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Tunajenga kanisa mkuu, karibu ushiriki🤝Kwani hela zako unatumia wapi?
Huogopi kufa🤔Eeh kufa kwaja
AnasaUmejikita kwenye starehe au kilevi ??
Kwahyo Bar ni sehemu pekee yakufanya anasaAnasa
Tupe uzoefu mkuuKwahyo Bar ni sehemu pekee yakufanya anasa
🤣Kama sio usenge ni nini 😂🫵
Uogope utakufa usiogope utakufa,, tujiandae tuHuogopi kufa🤔
ukiongeza anasa unaongeza kasi ya kufa mkuuUogope utakufa usiogope utakufa,, tujiandae tu
Manake wangejikwamua na kutoka kwenye kuajiriwa kama wangeacha kutupa pesaHujakaa na watu wanao fanya kazi migodini au wanajeshi,vyombo wanapiga na upande wa uwekezaji wapo vizuri na mbunye wanapiga kama kawa.
Inayotupwa bar ni ya misukule!Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Nmeziandika hapo mkuu☝Inayotupwa bar ni ya misukule!
Unazungumziaje vifo vya watoto wachanga🤣🤣ukiongeza anasa unaongeza kasi ya kufa mkuu
haifanani kabisa na kufa kizembeUnazungumziaje vifo vya watoto wachanga🤣🤣
Wote wakijiajiri nani atamtibia mwenzie nani atalilinda taifa,nani atajenga barabara,nani atafundisha huko mashuleni/vyuoni nk. Halafu unaweza ukaajiliwa still uakendelea kufanya uwekezaji upande mwingine.Manake wangejikwamua na kutoka kwenye kuajiriwa kama wangeacha kutupa pesa
vijana wamejaa mtaaWote wakijiajiri nani atamtibia mwenzie nani atalilinda taifa,nani atajenga barabara,nani atafundisha huko mashuleni/vyuoni nk. Halafu unaweza ukaajiliwa still uakendelea kufanya uwekezaji upande mwingine.
Ktk utafutaji haijalishi kama umeajiliwa au umejiajili cha msingi tafuta alternatively kwa kila ukipatacho basi uwekeze sehemu ya kukuingizia fedha.