Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Ooohhh hebu niachehaifanani kabisa na kufa kizembe
Ooohhh hebu niachehaifanani kabisa na kufa kizembe
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
min -me bwashee ana utani na wewe huyu?Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Usijekusema hawakunambiaOoohhh hebu niache
Uzembe ni mbaya zaidi mkuuHakika umasikini mbaya...
Bado hujasemaIla wanywaji wa mirinda mna majungu aseeee!!!!!
Inaonyesha uliwahi kuwa miongoni mwao mkuu, sio kwa uzoefu huu.Hii nchi wanywa soda huwa wanajiona wana akili kuliko watu wote, ila ajabu ni kwamba ndiyo kundi wanaoongoza kuishi kwa stress kuliko wapiga vyombo
100%Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Nimezungukwa na wanywa soda Mkuu, Ila ndiyo wao wanakuja kuomba kwa mla mapovu niwakopeshe wakiwa na vipengele vyao. Na bado ndiyo magwiji wa majungu na fitina. I Wonder!!Inaonyesha uliwahi kuwa miongoni mwao mkuu, sio kwa uzoefu huu.
Aisee we mwamba. Sema nini ungeacha povu ungetusaidia kulipa deni la taifa mkuu.Nimezungukwa na wanywa soda Mkuu, Ila ndiyo wao wanakuja kuomba kwa mla mapovu niwakopeshe wakiwa na vipengele vyao. Na bado ndiyo magwiji wa majungu na fitina. I Wonder!!
Nyooooo 😂😂😂Bado hujasema
Bro, hapo sikubaliani na wewe. Kutafuta pesa kwa njia halali na kwenda bar kunywa pombe ni vitu viwili tofauti. Mtu anaweza kufanya kazi, akapata pesa yake kwa jasho lake, akatimiza majukumu yake, halafu akaenda bar kupumzika na marafiki kwa pesa yake mwenyewe. Hilo linakuwa kosa gani?Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
Takwimu zinaonesha wala povu ndiyo walipaji wakuu wa deni la Taifa wakishirikiana na wazee wa Tumbaku. Wakiwaacha kwa mbali sana wanywa soda na juisiAisee we mwamba. Sema nini ungeacha povu ungetusaidia kulipa deni la taifa mkuu.
Utakuwa umetumwa weweUsijekusema hawakunambia
Mpaka usemeee😅Nyooooo 😂😂😂