Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Bro, hapo sikubaliani na wewe. Kutafuta pesa kwa njia halali na kwenda bar kunywa pombe ni vitu viwili tofauti. Mtu anaweza kufanya kazi, akapata pesa yake kwa jasho lake, akatimiza majukumu yake, halafu akaenda bar kupumzika na marafiki kwa pesa yake mwenyewe. Hilo linakuwa kosa gani?

Uhalali wa pesa unapimwa kwa namna ulivyoipata, si mahali unapoamua kuitumia. Kama mtu ameiba ili alewe, kosa ni wizi, si bar. Lakini kama amefanya kazi halali, akatunza familia yake na akatenga pesa ya starehe, huwezi kumhukumu kwa kwenda bar
Uko sahihi, Zingatia neno Kutupa
 
Takwimu zinaonesha wala povu ndiyo walipaji wakuu wa deni la Taifa wakishirikiana na wazee wa Tumbaku. Wakiwaacha kwa mbali sana wanywa soda na juisi
Utafiti uliofanywa na Euromonitor International kwa ushirikiano na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) unaonesha kuwa asilimia 61 ya pombe yote inayotumiwa nchini ni pombe haramu au ya kienyeji.
Deni mnalipaje mkuu?
 
Pombe zipo za makundi mbalimbali, ukiwa mdau mzuri wa bidhaa za TBL na SBL ama imported beer kama Desperado,Windhoek n.k huwa zinalipa kodi kwa uhakika. Shida ni hizi pombe kali ndiyo nyingi wahuni wamezichakachua kwa kuingiza mzigo fake sokoni.
 
Ohh basi kongole kwa kumuungisha mlipa kodi, swala la kulipa deni tuwaachie serkali.
 
Acha wivu weyeee...!Bia Tamu ..Ni Bajeti na Mipango tu
FB_IMG_1793107945424.jpg
 
Pesa ya wanywaji inakwenda kwa wahitaji kama watoto yatima na siyo kuwapa watu wazima hamna ulemavu wowote hamtaki kufanyakazi mmejificha kwenye dini ili muishi kwa sadaka za wajinga.
Na tunawanyosha kweli, na mbinguni wanaenda. We fanya matendo ya huruma huku unalewa na kufanya usodoma, utaishia kuona mawingu.
 
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.View attachment 3699672
Sio kweli wengine tunatumia pesa yetu halali kupata kinywaji bar. Wengi tu wanakunywa soda juisi. Ule mkusanyiko ndio unaiwafanya watu wengi kukaa na kunywa kwrnye bar. Chunguza mwisho wa mwezi ndio utajua ni pesa halali ya mshahara.
 
Kupata kinywaji, sio kutupa pesa mkuu.
 
Back
Top Bottom