Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Uko sahihi, Zingatia neno Kutupa
 
Takwimu zinaonesha wala povu ndiyo walipaji wakuu wa deni la Taifa wakishirikiana na wazee wa Tumbaku. Wakiwaacha kwa mbali sana wanywa soda na juisi
Utafiti uliofanywa na Euromonitor International kwa ushirikiano na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) unaonesha kuwa asilimia 61 ya pombe yote inayotumiwa nchini ni pombe haramu au ya kienyeji.
Deni mnalipaje mkuu?
 
Pombe zipo za makundi mbalimbali, ukiwa mdau mzuri wa bidhaa za TBL na SBL ama imported beer kama Desperado,Windhoek n.k huwa zinalipa kodi kwa uhakika. Shida ni hizi pombe kali ndiyo nyingi wahuni wamezichakachua kwa kuingiza mzigo fake sokoni.
 
Ohh basi kongole kwa kumuungisha mlipa kodi, swala la kulipa deni tuwaachie serkali.
 
Pesa ya wanywaji inakwenda kwa wahitaji kama watoto yatima na siyo kuwapa watu wazima hamna ulemavu wowote hamtaki kufanyakazi mmejificha kwenye dini ili muishi kwa sadaka za wajinga.
Na tunawanyosha kweli, na mbinguni wanaenda. We fanya matendo ya huruma huku unalewa na kufanya usodoma, utaishia kuona mawingu.
 
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.View attachment 3699672
Sio kweli wengine tunatumia pesa yetu halali kupata kinywaji bar. Wengi tu wanakunywa soda juisi. Ule mkusanyiko ndio unaiwafanya watu wengi kukaa na kunywa kwrnye bar. Chunguza mwisho wa mwezi ndio utajua ni pesa halali ya mshahara.
 
Kupata kinywaji, sio kutupa pesa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…