Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake.
Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani watapunguza matatizo ndani ya familia zao kwa % nyingi.
Akija mzazi kuhitaji msaada wa maombi juu ya mwanae technically namwambia amlete mtoto wake then nampigisha magoti halafu namwambia mzazi amtamkie yale anataka yatokee kwa mtoto wake. Hapo mchezo umeisha.
Una kijana shuleni hafanyi vizuri?
Una binti ana karoho ya uesharati?
Una kijana mlevi?
Una kijana kamaliza chuo yupo tu nyumbani kila biashara inamshinda?
Mwambie apige magoti mwekee mkono mtamkie uzima na mafanikio.
Neema ambayo mzazi kaibeba kwaajili ya mtoto wake ni kubwa kuliko kuombewa na Mchungaji au Nabii .
Mzazi ana password za mafanikio ya mtoto wake bila kujalisha huyo mzazi ana mafanikio kiasi gani.
Mpigishe goti mtoto wako mwombee utaona maajabu.