Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake.
Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani watapunguza matatizo ndani ya familia zao kwa % nyingi.
Akija mzazi kuhitaji msaada wa maombi juu ya mwanae technically namwambia amlete mtoto wake then nampigisha magoti halafu namwambia mzazi amtamkie yale anataka yatokee kwa mtoto wake. Hapo mchezo umeisha.
Una kijana shuleni hafanyi vizuri?
Una binti ana karoho ya uesharati?
Una kijana mlevi?
Una kijana kamaliza chuo yupo tu nyumbani kila biashara inamshinda?
Mwambie apige magoti mwekee mkono mtamkie uzima na mafanikio.
Neema ambayo mzazi kaibeba kwaajili ya mtoto wake ni kubwa kuliko kuombewa na Mchungaji au Nabii .
Mzazi ana password za mafanikio ya mtoto wake bila kujalisha huyo mzazi ana mafanikio kiasi gani.
Mpigishe goti mtoto wako mwombee utaona maajabu.
With all due respect bro, Mambo sio rahisi kiasi hicho, you just can't be blessed to prosperity like that,
Yaani umuwekee Nikon, utamke, kuwa tajiri kama bakheresa, au, eron musk, mwanangu, na itokee,!!! Hizo, ni ndoto za alinacha,
Hakuna mafanikio, nyumba, utajiri,wa, maombi! Kama nyie mnaotoa maombi, kwanini nyie sio ma tajiri, na, maombi yanatoka kwenu, ila mnataka sie "mnaotuombea" Kwa malipo of coz, tuwe ma tajiri, naamini katika kutamka mazuri, kumjengea mtoto roho ya kujiamini, nk, but it takes more than prayers and goodwill, to make it in life, watoto wa More, Bakheresa,, Obama, Samia, Kikwete, hawakufika pale kisa wazazi wao waliwawekea mikono na kuwatabilia makubwa,kuna kazi ilifanyika kujenga uchumi wa familia, na ukwasi,
Kuombea mtoto ni sawa, ila inahitajika kazi, sayansi,
Tujifunze kwa china, Korea, Japan, India, Dubai, Taiwan, wanaimani zao Sana, wanaomba Sana, ila wanatumia bongo Sana, ki sayansi, simu ya Samsung, kutoka Korea, imetengenezwa kwa bongo Kali, zilizoumiza kichwa kuwaza,
Ukisikia hizi, bland, Toyota, Benz, Vx,Ford, hazikuja kwa maombi, kazi, ya bongo,