min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Duniani ama Tanzania mkuu?Hakuna muhalifu smart hajawahi kuwepo duniani ni lazima tu ataacha pa kuanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani ama Tanzania mkuu?Hakuna muhalifu smart hajawahi kuwepo duniani ni lazima tu ataacha pa kuanzia
Huu ndo ukwel wenyewe sasa 😁Bongo unashushiwa kipigo kizito kilichojaa mateso makali hataka haujaua inabidi ukubali kua umeua
Kwenye hiyo crew ya kina biggy, diddy yupo na idea ilitoka kwake vijana walivosikia alafu chance ikaja wakammaliza pac, according to ile docu mambo yalitokea chapu chapu sanaMbona kuna wanaosema kauwawa na Diddy
Aah okKwenye hiyo crew ya kina biggy, diddy yupo na idea ilitoka kwake vijana walivosikia alafu chance ikaja wakammaliza pac, according to ile docu mambo yalitokea chapu chapu sana
Huyu bwana hata sura hawakuijua, aliyeyuka, kuna na mastermind mmoja alishirikiana na wazee wastaafu kuiba benki nae mpaka kesho hawajampataga..
Mleta uzi kattaja kesi ambazo watekelezaji sio pro, makosa kibao ya kiufundi. Jitu limeua na linaacha panga eneo la tukio, huyo Hamis ndio hamna kazi kabisa.
Bongo sijaonaga kesi za wale serial killers, wale ndio huwa professionals maana kuua kwao ni burudani.
Story TU hizo, Unakutana na professional WA hizi Kazi Wewe😊DAMU ya mtu ni nzito
Murder chache sana suspects wanakamatwa na kutiwa hatiani wengi wanashinda kesi, kwenye mauaji hakuna ushahidi wa kusikia, ushahidi wenye nguvu ni eyewitness au ushahidi wa kisayansi ukikosekana huo ushahidi hata kama mtu kaua yeye ni ngumu sana kufungwa otherwise akiri mwenyewe ila asipokiri atakaa mahabusu muda mrefu baadae ataachiwa au baada ya kufungwa atakata rufaa na kuwa huru
hiyo mifano yako ni michache na yenye public interest muda mwingine hakimu anafunga macho na kumfunga mtu kutokana na msukumo uliopo kwenye jamii, japo siungi mkono matendo hayo lakini kusema kila anaeua anafahamika hiyo ni uongo mkubwa, siyo Tanzania tu duniani kote.
Vitambulisho vya NIDA ilikuwa janja ya kukusanya alama za videlo nchi nzima....
Huku bongo mtu anaua baada ya kufumania, Ile mihemko TU tayar unakua ujajipanga.uzii umeeleweka sana, ila Kwa kuongezea tu kuna aina tofauti ya tukio lolote la mauaji.
Organized killer... Hili ni tukio ambalo muuaji anakua amejipanga na ni ngumu sana kubaini kwani tukio Zima Huwa linaanzia kwenye mchoro, pia dhana zote za kazi vinaandaliwa, mistakes kidogo tu unaunguza picha, muuaji anajua kitu anachokifanya na kuhakikisha haachi ushahidi...yako matukio mengi ambayo mpka kesho hajapata kujulikana, ndio maana hata wapelezi wametofaiutiana uwezo, wako wabobevu zaidi, ama international.
Disorganized killer... Hili ni tukio ambalo muuaji anakua hajajipanga, anaweza akatumia hata silaha aliyoikuta Kwa target, hakuna mpango kabla ya tukio, ushahidi unapatikana kirahisi, muuaji hata grooves havai anakuja mzimamzima, hivyo hata wapelezi wanapata pa kuanzi.... Nawasilisha
Unsolved
1. The Dyatlov Pass Incident (1959, Russia)
2. Jack the Ripper (1888, England)
3. The Hinterkaifeck Murders (1922, Germany)
4. The Zodiac Killer (1960s-70s, USA)
5. The Tamam Shud Case (1948, Australia)
6. The Villisca Axe Murders (1912, USA)
7. The Isdal Woman (1970, Norway)
Fuatilia hizo ni very interesting ila hao jamaa waliohusika hakuna hata mmoja aliyekamatwa imefikia hatua watu wanadhani ni hadithi za kufikirika.
Jamaa haelewi uyo, perfect murder zipo kibao, ndo maana Kuna Hadi kesi Zina zaidi ya miaka 80 Bado upelezi wake haujawai kukamilikaDuniani ama Tanzania mkuu?
Sure bro , kuna watu wana ona tanzania ndio dunia etiJamaa haelewi uyo, perfect murder zipo kibao, ndo maana Kuna Hadi kesi Zina zaidi ya miaka 80 Bado upelezi wake haujawai kukamilika
Sasa miaka mia mzee wangu ni kipengele.Ni kweli Kila tukio huacha alama,
Ila zipo kesi kibao mpk leo zimekosa alama na hazijawa solved.
Marekani Wana utaratibu, kesi ikizidi miaka 100 haijasoviwa, Hilo faili wanafunga.
Sasa miaka mia mzee wangu ni kipengele.
Mkuu wauaji wote wangelikuwa wanakamatwa.Hakuna muhalifu smart hajawahi kuwepo duniani ni lazima tu ataacha pa kuanzia
Mkuu unayo Swahili version ya Mwenendo wa ile kesi?Mauaji ya Milembe Suleimani
Hawa wauaji walikuwa smart, jinsi walivyo mlaghai hadi kumpeleka site,
Kuzuia mawasiliano, kuficha simu na vifaa au silaha
Lakini wakasahau chupa ya fanta, na wapelelezi walivoikuta wakachukua vinasaba na kugundulika kuwa aliishika mmoja wa mtuhumiwa na kilichofuata mambo yalikuwa kwenye mwanga wa jua kali
Aaah wapi,Sure bro , kuna watu wana ona tanzania ndio dunia eti