Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

Kwenye hiyo crew ya kina biggy, diddy yupo na idea ilitoka kwake vijana walivosikia alafu chance ikaja wakammaliza pac, according to ile docu mambo yalitokea chapu chapu sana
Aah ok
 
Reactions: Lax
Burudani ya serial killer huwa ni kuona jinsi gani polisi Wana hangaika kumtafuta.

Kinachowaponza serial killer wengi Huwa ni kulewa sifa, hapo ndo uwa wanakamtwa
 
UKU Bongo au afrika,

Hatuna wale WAHALIFU professional,

Yaani mhalifu anaorganise uhalifu wake kitaalam bila kuongozwa na hisia,hofu, overconfidence Wala mihemko.

Unakuta mhalifu anaandaa uhalifu atatakuja kuutekeza miaka 5 Hadi 10 mbele huko.

Uhalifu anauandalia hadi bajeti kabisa
 
Hata polisi wenyewe Huwa wanakili,

Ktk upelelezi hamna Kazi ngumu sn Kama kupeleleza uhalifu uliotekelezwa na mtu Ambae aliwahi kua mpelelezi au anaejua jinsi wapelelezi wanavyowaza.
 
Umeongea fact kabisa,
Wengi bongo wanafungwa kwa kukosa pesa ya mawakili wazuri, kumtia hatiani mtu Kwa kesi ya mauaji inataka ushahidi USIO WA kuunga unga
 
Huku bongo mtu anaua baada ya kufumania, Ile mihemko TU tayar unakua ujajipanga.

Kuna watu anakufumania Ila anaweka kiporo, afu anakuua Kwa simu ya polepole, ndani ya miez 6+ unaugulia kitandani, afu ndo anakumalizia kabisa.

Ripoti ya kifo inasomeka ni amefariki baada ya kuugua MDA marefu.

Kumbe tayar Kuna mtu keshalipiza kisasi chake na anaendelea na maisha yake
 
Uyo zodiak mbona alishadakwa kitambo Sana
 
Jamaa haelewi uyo, perfect murder zipo kibao, ndo maana Kuna Hadi kesi Zina zaidi ya miaka 80 Bado upelezi wake haujawai kukamilika
Sure bro , kuna watu wana ona tanzania ndio dunia eti
 
Wao wana assume mhalifu lazima umri wake utakua ni kuanzia miaka 18,

Sasa ukiongeza miaka 100 ya upelelezi Baada ya tukio, utakuta Hata mhalifu mwenyewe mnaemtafuta atakua tayari keshakufa.

Sasa utakua upotezaji WA muda na pesa kuendelea kupeleleza kesi ambayo mhalifu wake tayar keshakufa.

Maana binadamu kuishi zaidi ya miaka 118 ni kipengele Sana.

Sasa miaka mia mzee wangu ni kipengele.
 
Mkuu unayo Swahili version ya Mwenendo wa ile kesi?
Hizi kesi zinapaswa kutupa mafunzo kama ile kesi ya Ugaidi ya Mbowe iliyokuwa inarushwa Live kutoka Kisutu
 
Sure bro , kuna watu wana ona tanzania ndio dunia eti
Aaah wapi,
Kwanza Tanzania ndo rahisi kufanya uhalifu na ukapotea kimya kimya

maana uku ata serikali yenyewe Haina bajeti ya kufanya upelelezi.

Yaani upelelezi WA bongo unategemea na mfuko WA aliefanyiwa uhalifu ukoje.

Bongo Sio ajabu umepeleka kesi kituoni, afu afande mwenye kesi Yako anakuomba Ela ya vocha ampigie mgambo ili muongozane mkamkamate mhalifu

Na usipotoa Ela ya vocha, mhalifu akamatwi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…