Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

Tutajie vyuo mbalimbali ulivyosoma zaidi ya Nyerere pumbavu.
 
Mtoto wangu wa kwanza amezaliwa 1998 hiyo ya 2000 nilisomea wapi pumbavu?
 
Ana akili za kibwengo huyo na ajue ni wa kupita tu.
 
Wingi una sifa ya KIKE. Ndio maana Demokrasia ni ushetani, kwa Mola hakuna Demokrasia.

Hiyo ni falsafa tu.
Mwanzo 1:26-29;"Na tumfanye mtu kwa mfano wetu akatawale samaki wa baharini,ndege wa angani na wanyama mbalimbali..................."
 
Hivyo tukiwajibika kimaadili, tunaona ni jukumu la serikali kusikiliza wananchi wanaotaka mkataba huu ufutwe. Kwa kuwa tumeonesha kuwa Tanzania tumeshawekeza na kuendeleza bandari, reli na bandari za nchi kavu; niwajibu miradi hii tuiendeshe Watanzania wenyewe huku tukikaribisha ubia tunaoudhibiti wenyewe. Hiki ndicho wananchi wanachokililia kusudi tujenge uwezo wetu wenyewe. Kwa vile tumegundua mapungufu yetu ya uendeshaji wa bandari, tunaweza kujizatiti kurekebisha mapungufu hayo wakati njia za kiuchumi zikibaki mikononi mwetu. Kwa sababu hizo na maelezo yote ya hapo juu, sisi Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hatuungi mkono Mkataba huu”.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TEC ni kubwa kuliko CCM na hili halina ubishi.
TEC wanaijua CCM kuliko CCM inavyoijua TEC
TEC ni wasomi nguli wa sheria (wote), CCM wanatumia 'dola' kulindwa.
TEC hawana makandokando ya uchafu kama walivyo CCM.

Mkuu, kwa kiwango kikubwa nakubaliana na hoja yako ingawa iko jumla!
 
Mkuu, sikia bana, mm maisha yangu nayaweka kwa Mungu, sio kwa wanasiasa wa kibongo hawa, pambana upate kula yako, hapo bandarini lazima atakuja mwekezaji, iwe DPW au Adan Au TICTS kwa hio mkuu, mm sina shida na mbwa gani yupo hapo bandarini, as long as kuna ufanisi, kodi za kijinga hazipo basi sina shida
 
Maelezo ya spika yanaeleweka Ila wewe unayatafsiri kufulahisha nafsi yako!!
 
Ajabu
 
Nilichogundua ni kwamba wakatoliki wengi wana roho mbaya.......haaa wa chini wana disadvantage nyingine, akili hawana hivyo ni 'watu ndiyo' tu.
Exactly hawa jamaa roho mbaya inawasumbua mungu yupo serikali ipo imara itafanya maamuzi sahihi kwa ajili ya watanzania na sio tec, nchi hii wakati wanaume wanapigania uhutu tec ilikuwa inaramba miguu wazungu na wanaume wakatoboa waache wivu wa kike dp world imefika na haitoki leo wala kesho, na raisi yupo imara zaidi ya jana, mungu ndio anamlinda na sio tec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…