Sunnah usipofanya hupati dhambi ila ukifanya wapata thawabu.
Naam basi ujue kwamba na jambo hili wapo ambao hawatofanya na hawapati dhambi kwa sababu sio kwamba wote ni lazima wawe hivyo.
Ingelikuwa wote lazima wawe hivyo basi ingekuwa ni lazima kwa wanaume wote.
option kwa sababu alijua kuna wanaume wengine wana shida mbali mbali ambazo huenda zikawafanya washindwe kumudu mke zaidi ya mmoja.
Ukitizama katika aya mbalimbali utaona namna gani wenye shida mbalimbali wametolewa...
Mfano Allah ksbainisha kwamba funga ni lazima
Isipokuwa kwa wagonjwa au walioko safarini.
Maana yake hii ni lazima na wale wenye matatizo wametajwa lakini nature kwamba kila mmoja anaweza kufunga isipokuwa hao ndo wameruhusiwa.
Sasa katika hili la ndoa usitake kusema kwqmba Allah alisahau kusema "lazima muoe wake wengi sipokuwa kwa wenye shida mbali mbali"
Hapa unataka kumfundisha Allah bila shaka.
Kwa sababu laiti kama ingelikuwa hivyo Allah asingesahau kusema kwamba hili jambo ni lazima isipokuwa wenye shida mbalimbali.
Kwa sababu hao wenye shida mbalimbali wametajwa katika aya zingine,hivyo na aya hii ya kuoa wake wengi ingelikuwa awataje na wala hakushindwa kufanya hivyo.
Lakini kwa kuwa mnataka kumfundisha Allah busara na hekima na kwamba nyinyi mnamjua mwanaume basi endeleeni tu.
hawezi kuwa na mwanamke mmoja
Mwanaume aliyekamilika anakuwa na sifa gani za kimaumbile ?
Na huo ndo msimamo wangu.
Msimamo sio hoja mkuu,wapo waislamu wenye misimamo ya hovyo tu ambayo haina tija.
Misomamo sio hoja,hatujadili misimamo tunajadili hoja ambazo zitasapoti misimamo hiyo.
Nadhani mleta mada angeweka sahihi kwamba kwa mwanaune aliyekamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja. Na huo ndo msimamo wangu.
Wapo masahaba walikuwa na mke mmoja na walizaa watoto.
Mwanaume aliyekamilika anakuwa na sifa gani kwa mujibu wa uislamu na sio kwa mujibu wako kwa sababu kila mtu ana tafsiri zake...
Nipe sifa ya mwanaume iyekamilika kwa mujibu wa uislamu