BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Wanawake wenyewe hawana mwanaume mmoja.....
Relax tu!!!!
Relax tu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipotoshe, wapo wengi tuuuHaijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia). Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa uwezo mkubwa wa kutamani Na Kumudu kutembea Na kuzaa Na wanawake wengi kwa wakati mmoja.
Kaka huwezi kwenda against nature. Huwezi kuamua wewe usiende haja kubwa wala ndogo, usijisikie baridi au joto, usijisikie joto, usitamani, usidise na nk labda wewe una shida ya nguvu za kiume. Nature haipingiki labda kama unamdanganya mkeo. Je mkeo ulimkuta na bikra.??Yani ukijiona unaamini kwamba "hakuna mwanaume mwenye mke mmoja" basi jua wewe ni mjinga unaelazimisha watu waamini unachokifanya wewe.
Usitake kuwalisha sumu mbaya wanawake waanze kuwa na hofu na waume zao.
Kwani haitoshi kusema kwamba nature ni mwanaume anaweza kuwa na wake wengi lakini sio lazima kila mwanaume aishi kwenye nature hiyo.
Mnasambaza ujinga sana kwa wanawake.
Wapo wanaume hawana habari na kuwa na mademu wengi japokuwa wanawaona wazuri zaidi ya wake zao lakini hilo hata wanawake pia wanawaona wazuri zaidi ya waume zao.
Kama ambavyo nature ya mwanamke ni kuzaa lakini wapo ambao hawazai,sasa usilazimishe kusema kila mwanamke atazaa au anazaa wengiine hawazai eidha kwa dharura au kutaka wenyewe.
Kutaka kuwaaminisha kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi ni ujuha unaopaswa kupigwa vita.
Hakuna anaekataa kwamba nature iko hivyo lakini kinachokataliwa ni kuwa sio kila mmoja kwamba lazima afuate nature hiyo.
Ziko nature nyingi sana lakini wengine hawaendi sambamba nazo,usijaze watu ujinga kwamba lazima "KILA MWANAUME"
Kuna wanawake wametulia na waume zao wakiinjoi maisha acha kuwa na negativity kiasi hiki.
Usilazimishe kwamba lazima kwa kkla mwanaume iwe hivyo,sema kwa wanaume wengi iiko hivyo,uwingi sio kwamba ni wote.
Badili mitazamo yako aisee.
Najadili hoja mkuu.Kaka huwezi kwenda against nature. Huwezi kuamua wewe usiende haja kubwa wala ndogo, usijisikie baridi au joto, usijisikie joto, usitamani, usidise na nk labda wewe una shida ya nguvu za kiume. Nature haipingiki labda kama unamdanganya mkeo. Je mkeo ulimkuta na bikra.??
Wanaume wengi Wana kasoro nyingi (wivu, harufu mbaya, gubu, vibamia, zakari kubwa mno, ushamba, uhanidhi, ugumba, ulemavu, sura mbaya nk) wasizozipenda wanawake pia. Wanawake wanawavumilia TU kwaajili ya ndoa, pesa zako, heshima lakini sio kwamba wanalidhishwa kuwa nawewe.Mungu kashindane naye kwa maana umejiumba.
Rejea mwanzo Mungu aliumba hawa na adam.
Na walipodanganywa wakapewa adhabu halafu wakaenda kuishi wenyewe nje ya bustani iliojaa kila kitu.
Halafu wewe tamaa zenu ndio mnazipigia debe .
Mxiuuu lione hata haya huna basi kwa taarifa yako hata wanawake wanaojitambua wao nao wanaume zaidi ya mmoja .
Usifanye kitu ukamkufuru Mungu kwa kuukosoa uumbaji wake. Hebu jiulize ni kwanini mwanaume ameumbwa na mbege nyiiiingi za kiume zinazozalishwa Hadi uzeeni. Jiulize kwanini mwanaume hawi na mayai mengi, akifika miaka 45 yanakwisha. Mungu sio mjinga wa kiasi hivyo. Mke mmoja haziwezi mbegu zote alizonazo mumewe asilani.Hayo majogoo na mabeberu hayajui kulima, kubeba zege n.k. Sasa wewe endekeza kwichikwichi wewe unakonda wenyewe wananenepa.
Mada inazungumzia mume alieoa wake zaidi ya mmoja ndoa kihalali?Sio mume ni hawara, mume ni mwanaume ambae umefunga nae ndoa.
Kwa hiyo Ile amri aliyotoa Mungu "usizini" alikuwa anamaanisha nini?Usifanye kitu ukamkufuru Mungu kwa kuukosoa uumbaji wake. Hebu jiulize ni kwanini mwanaume ameumbwa na mbege nyiiiingi za kiume zinazozalishwa Hadi uzeeni. Jiulize kwanini mwanaume hawi na mayai mengi, akifika miaka 45 yanakwisha. Mungu sio mjinga wa kiasi hivyo. Mke mmoja haziwezi mbegu zote alizonazo mumewe asilani.
Achana nao hao vichwa vigumu mwaya wameshaamua kuwa nao.Kwa hiyo Ile amri aliyotoa Mungu "usizini" alikuwa anamaanisha nini?
Nyie wasasa hivi hamuwezi hata mbili tu kaziFunny fact. Waislamu wengi sana huwa wanatetea dini imeruhusu mke zaidi ya mmoja. Ni kweli..lakini sasa mbona huwa hawatimizi hili agizo.
Inaruhusiwa wake hadi wanne ikiwa wewe mwanaume una nguvu sana na spidi ambayo yule mke mmoja haiwezi. Kwa lugha nyingine mke anakuwa hawezi kutimiza haja zako maana mwanaume unakuwa rijali extra extra. Hapo tu ndo dini inaruhusu kuongeza mke.
Ila sasa wanaume wa leo. Kimoko chali. Mavi ya bata kabisa. Af eti dini inaruhusu kwa nguvu gani babu. Tena wewe mshindia makange, kvant, na biriani friday my foot kabisa. Mazoezi huyajui. Zaidi unaujua mkongo hahahha...embu nipishe bwana.
Mnahangaisha hizo mb** zenu tu jamani. Nguvu hamna. Mkija kwa wake zenu kimoko chali mwanamke anakesha kutafuta madildo tu ajiridhishe. Afu uko nje mnategemea mkongo, sijui puturuu na kvant jamani jamani bado na viagra hahahah.
Af mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja jamani....wenzenu akina suleiman walikuwa fire bi moto nyinyi sasa....poooh!!! Haya hangaikeni mkichoka na viuno vimevurugika mnatembea tafkiri gani iliyokatika centre bolt!!😂😂😂😂
#povuruksahuundoukwelihamnalolote#mafikunuka
Nidm chap chap asee😅Kwa hiyo Ile amri aliyotoa Mungu "usizini" alikuwa anamaanisha nini?
Dah bora wewe umesema ukweli ,n kweli 120%. Nmekuelewa mm mwenyewe hili swala nmekuja kuliamini umri wangu umeishaenda saHaijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia). Viumbe walioko kwenye
Uko sahihi kavulata kama ni kuingiza tu na kuacha mbegu kama jogoo afanyavyo nakubaliana na wewe kwamba kila siku mwanaume anaweza kutia mimba akikutana na wanawake walioko siku ya ovulation tu, na kwa hiyo kwa mwaka anaweza kuwa na watoto 365.Usifanye kitu ukamkufuru Mungu kwa kuukosoa uumbaji wake. Hebu jiulize ni kwanini mwanaume ameumbwa na mbege nyiiiingi za kiume zinazozalishwa Hadi uzeeni. Jiulize kwanini mwanaume hawi na mayai mengi, akifika miaka 45 yanakwisha. Mungu sio mjinga wa kiasi hivyo. Mke mmoja haziwezi mbegu zote alizonazo mumewe asilani.
Kwa nini Allah atoe thawabu kwa suala ambalo halina umuhimu?Sawa mkuu nimekuelewa sasa unatakiwa uache kutumia hoja ya uislamu kwa sababu unapotumia hoja hiyo utaulizwa maswali ukashindwa kuyajibu.
Mambo hayaendi kwa jinsi unavyoona wewe,kila mtu ana uoni wake.
Kinachotakiwa kama ni ioni wako sema unaona kwa mujibu wa uoni wako usiegemeze uoni wako katika dini fulani ili ikupe sapoti.
Sasa uache kusema au kusapoti kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi hiku ukiegemeza maneno hayo kwamba hata Allah kakusudia hivyo alafu ukiulizwa unasema wewe sio muislamu.
Hujajibu swali.
Ili uwe rijali unatakiwa uwe na sifa gani,uwe vipi ?
Sasa ahpo ndo uone kwamba hata hao vinara wa uislamu hapo nyuma ambao waliishi na mtume alioleta uislamu kwa wakati huo hawakyona ulazima kama mabao unataka kutuaminisha hapa.
Kutoa thawabu haifidishi ama haioneshi kwamba jambo hilo ni lazima kwa watu wote kwamba hawawezi kuliepuka.
Mfano Allah anamlipa thawabu mtu ambae ataswali swala ya sunna.
Unaweza kuthubutu kusema kwamba sala ya sunna ni lazima kila mtu kuisali ?
Allah anamlipa thawabu mtu ambaye atafunga sunna za jumatatu na alhamisi.
Unaweza kuthubutu kusema kuwa kufunga suna ya j3 na alhamisi ni lazima kila mtu afunge ?
Haya maswali ninayokuuliza sitarajii useme kwamba wewe sio muislamu.
Kama huna majawabu ya maswali haya hoja zako egemeza kwa mambo mengine usiegemeze kwa uislamu kwa sababu utakuwa jnashindwa kutetea hoja zako.
Hivyo suala la mathna Allah anatulipa kwa sababu ndivyo alivyopanga kama ambavyo Allah hutulipa kwa ibada zingine za sunna kwa sababu ndivyo alivyopanga na kutupendelea kwetu heri.