Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wapo hakika!
Mungu anawatu!
Kuna dhambi nyingine watu hawahusiki kabisa.
Kuna watu hawajawahi kuonja pombe hata siku moja hadi uzeeni kamwe hawanywi pombe.
Kuna watu hawajawahi kwenda kwa waganga wa kienyeji maisha yao yote hata siku moja.
Hivyo kwenye dhambi ya ushirikina huwapati.
Vivyo hivyo kwenye dhambi ya uasherati na uzinzi kuna watu hawahusiki kabisa maisha yao yote.
Mungu ana watu wa kariba tofauti tofauti sana, lisilowezekana kwako kwa mwenzio linawezekana.
Kuna watu wananguvu za kushinda tamaa za kujiendekeza.