Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alete watoto ili iwe nini labda?????Shida ni kwamba wanaume wa siku hizi wanawaogopa sana wake zao kiasi Cha kushindwa kuwaleta nyumbani watoto wao wa nje ya ndoa (kama wapo). Watoto hao wanaozea hukohuko walikozaliwa kwa kufichwa,kukataliwa au mimba zao kutolewa. Mwanaume anatetemeka simu yake ikiguswa na mkewe, mwanaume anahangaika kama demu lake likimpigia simu wakati Yuko na mkewe.
Wanawake huwa wanatingisha kiberiti waone ulivyo bwege na unavyomuogopa. Mwanamke hata uwe na wanawake 4 bado atakupenda sana kama kitandani na mfukoni uko vizuri, huna gubu, unampenda na kumjali.