Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Mkuu unanifurahisha sana unaposema mwanaume kuwa na wanawake wengi kuwa fake na dhaifu.Nadhani aliweka hiyo option kwa wanaume fake, yaani wanaume dhaifu wasio na uwezo wa kuhimili na kudhibiti hisia zao!
Naamini unaweza ku"control" nature! Mungu amekupa uwezo huo! Ndiyo maana mwanadamu amebuni namna mbalimbali za kuishi maeneo mbalimbali ambayo mengine kiasili tusingeweza kuishi! Mfano maeneo yenye baridi sana au joto Sana nk!
Kwenye uhalisia hilo halipo, nenda hata kijijini kwenu au mtaani kwako uliza nani mdhaifu kati ya mwenye wengi au mmoja
Sijui unaishi dunia gani ndugu.