Mungu sio mjinga akupe mbegu nyiiiingi kwenye korodani zako eti kwaajili ya kimwanamke kimoja. Mbona hakufanya hivyo kwa ndege, wanyama na viumbe vingine? Yaani unahalalisha woga kwa mkeo. Yaani unaongea udhaifu wako uliokithiri dhidi ya mkeo. Unasahau kuwa wewe, beberu, jogoo wote mna wivu, mnatongoza, mnakula, mnaenda haja ndogo na kubwa, mnahema, mnasikia njaa, mnalala usingizi, mnajisikia kiu pamoja. Mbona wewe huachi kufanya hivyo vingine vyote Ila unachagua eti kuacha kugawa mbegu ulizopewa kwa wanaozihitaji. Eti mwanamke mmoja TU, unamfanya Mungu zezeta kukupa mbegu nyiiiingi.