Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Nadhani aliweka hiyo option kwa wanaume fake, yaani wanaume dhaifu wasio na uwezo wa kuhimili na kudhibiti hisia zao!


Naamini unaweza ku"control" nature! Mungu amekupa uwezo huo! Ndiyo maana mwanadamu amebuni namna mbalimbali za kuishi maeneo mbalimbali ambayo mengine kiasili tusingeweza kuishi! Mfano maeneo yenye baridi sana au joto Sana nk!
Mkuu unanifurahisha sana unaposema mwanaume kuwa na wanawake wengi kuwa fake na dhaifu.

Kwenye uhalisia hilo halipo, nenda hata kijijini kwenu au mtaani kwako uliza nani mdhaifu kati ya mwenye wengi au mmoja

Sijui unaishi dunia gani ndugu.
 
Utafiti umeonyesha kuwa 40% ya watoto wote nchini sio wa baba mwenye Mke.
 
Mi niko na mkewangu tu 1 year sasa
Sawa, hakikisha kuwa unamkojolesha angalau mara 3 kwa wiki na kumpatia mahitaji yake na Yale ya watu wake nyumbani kwao. Siku utakapotembea nae bila ya kumkojolesha au wiki ipite bila kumpitia Anza kulia mwenyewe
 
Yani ukijiona unaamini kwamba "hakuna mwanaume mwenye mke mmoja" basi jua wewe ni mjinga unaelazimisha watu waamini unachokifanya wewe.

Usitake kuwalisha sumu mbaya wanawake waanze kuwa na hofu na waume zao.


.
Sasa kaka, Mimi ni mfugaji pia, yapo madume ambayo ni wavivu zizini, hayana hekaheka kazi Yao kulala na kulala ng'ombe hawazai. Hata wewe inawezekana ni mume wa aina hii, unahiyari Leo upande au usipande. Ili udise lazima uvutwevutwe na mkeo ndio uume ushituke na ukishapiga kamoja basi inakutosha unaendelea na usingizi.

Waume wa hivyo wapo lakini tunawaita abnormal. Mume halisi ana uwezo wa kuchapa wanawake 3 kwa siku moja na wote wanafurahia tendo LA ndoa. Yaani unachapa nje na ndani leoleo kwa speed ileile. Ukiwa na Mke mmoja lazima akwambie duu nimechoka Leo mume wangu bado kunauma huko chini. Yaani peke yake hakuwezi anaomba msaada wa wanawake wenzie.

Sasa wewe unanitia Mashaka makubwa. Kama siku Mke wako atakutana na mume halisi ndoa yako itakuwa mashakani.

Mwanaume kwa usiku mmoja ana uwezo wa kupiga 3 hadi asubuhi na mchana anaweza kuchapa wanawake wengine 2. Anachohitaji mume ni afya, chakula kizuri, pesa na utulivu wa akili basi.
 
Usiwe mbishi we jamaa.

Na huu ni udhihirisho wa ujinga ambao uko nao JUU YA JAMBO HILI.

Ishu ni tamaa zako za mwili.

Wanasema nature mwanamke akiwa katika siku zake za ovulation anakuwa na hamu sana na kuna watu wanaeneza propaganda kwamba hawezi kustahamili lazima atafute mtu ampige mshawasha tu.

Je unataka kutuambia kwamba kila ovulation ya mwanamke hapa duniani lazima atafute mtu ampige mshawasha sio ?
Issue hapa sio ovulation, lakini mwanaume halisi anasisimuliwa na sauti, umbo, kunusa, kuona, kupapasa, simulizi na hata kufikiria TU, na wakati mwingine anasimamisha hata akishikwa na mkojo au ndotoni, joto LA mwanamke na kupapaswa. Hii ni kwa viumbe wote. Sasa wewe inamaana hauko kamili.
 
Sidhani kama ni mtazamo, ila ndio nature kubali ukatae. Mimi ni mwanaume, rafiki zangu ni wanaume, kaka zangu ni wanaume namuelewa sana mleta mada.

Huyo mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja huenda ana shida fulani katika mwili wake.

Wewe ni muislamu kama sikosei, unadhan Allah alivyoruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja alikosea?
Kwani hata ukioa hao wanne utaacha kuwa na wanawake wengine? Hiyo ni tabia!!
 
Mkuu huyu jamaa hujamuelewa.

Mungu kuruhusu jambo haina maana kwamba hauwezi kuishi bila jambo hilo.

Na laiti ingelikuwa haiwezekani mtu kuishi na mke zaidi ya mmoja basi mungu angesema ni LAZIMA KUOA WAKE WENGI.

Lakini hata Mungu mwenyewe anajua kwamba sio lazima KILA mwanaume aqe na wake wengi lakinni akaruhusu kwamba atakae tena afannye kwa wale wanaotaka.

lakini pia Mungu akaweka kigezo kwamba ikiwa utahofia uadilifu nasi ukae na mke mmoja.

Hapa kigezo cha kuhofia kuwa na wake wengi ni uadilifu.

Hii maana yake uadilifu kwa mwanamume ni jambo la lazima analotakiwa awe nalo ili aishi nna wake wengi.

Hivyo uadilifu ni kigezo kinachotangulizwa zaidi kwa mtu kuwa na wake wengi kuliko matamanio.

Kama una matamanio ya wake wengi na uadilifu huna basi dini inakukataza kuongeza wake.
Kikubwa hapa sio uadilifu, maana uadilifu ni kitu kinachoamuliwa na jamii ya watu Fulani kuhusu nini ni uadilifu na nini sio uadilifu (social construction), lakini kitandani, kudisa, kuwa na mbegu nyingi zinazozalishwa na korodani ni kwa wanaume wote hata kwa viumbe wengine.

Miundombinu ya kuwa na Mke zaidi ya mmoja Iko kwa wanaume wa viumbe vyote. Wewe huwezi kusema unaweza kuwa na Mke mmoja au usiwe kabisaa na mwanamke halafu ukajiita mwanamke kamili. Hiyo ni kasoro sawa na kasoro ya mwanaume ambaye hawezi kutia mimba au mwanamke asiyepata mimba. Na mwanamke mwenye Mke mmoja tuuu kweli hata akili yake au tabia yake lazima Ina kasoro Fulani Fulani ambazo hata ndugu zake wa karibu wanaziona kwa macho ya nyama.
 
Sio kweli kabisa unachosema, lazima wewe una kasoro ya kiume, tena kubwa. Walishindwa hata manabii, maaskofu, masheikh, marais wakubwa, nk, sembuse wewe?
Mkuu, kama mimi mke wangu anasifa zote ninazozitaka ana vigezo vyote ninavyovitaka,
Je kuna ulazima wa kuwa na mchepuko?
 
Sawa mkuu nimekuelewa sasa unatakiwa uache kutumia hoja ya uislamu kwa sababu unapotumia hoja hiyo utaulizwa maswali ukashindwa kuyajibu.

Mambo
Tofautisha Kati ya kufunga sunna na kujisikia kiu, njaa, usingizi, joto, baridi, haja kubwa, haja ndogo, kudisa, kitamani, nk. Kufunga, kwenda au kurudi unaweza kupanga wewe lakini kutamani na kudisa huwezi kupanga wewe, inatokea TU. Kama wewe ndiye unaepanga kusinzia kwako, kujisikia njaa kwako, kwenda kukojoa kwako au kudisa kwako basi wewe ni mgongwa, abnormal.
 
Mkuu unanifurahisha sana unaposema mwanaume kuwa na wanawake wengi kuwa fake na dhaifu.

Kwenye uhalisia hilo halipo, nenda hata kijijini kwenu au mtaani kwako uliza nani mdhaifu kati ya mwenye wengi au mmoja

Sijui unaishi dunia gani ndugu.
Kwa kukosa uelewa wengi watasema dhaifu ni yule mwenye mke mmoja! Lakini ukweli dhaifu ni yule asiyeweza kujizuia kila tako likipita! Wewe ni weak! Mwanaume halisi ana sifa zake! Ni yule asiyetikiswa na tako hovyohovyo! Sasa wewe na udhaifu wako huo unaweza kufanya maamuzi ya hovyo na kuharibu Mambo mengi katika jamii yetu! Kuna watu wametoa ajira kwa watu wasio na sifa kwa sababu ya rushwa ya ngono nk. Walisema hakuna mwanaume kama YESU hawamaanishi YESU alikuwa na wake wengi! Kuna sifa ziazomfanya aitwe hivyo! Na ngono siyo moja ya sifa hizo kwa taarifa yako!
 
Back
Top Bottom