Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.
Wacha weeMimi nitoe kwenye hiyo orodha yenu nina mke mmoja tu.
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi
Hatuzungumzii wasio na nguvu nguvu za kiume+ helaUsitufananishe sisi na wewe, sisi wengine tumeridhika na mke 1. Usitusemeee wewe sio msemaji wetu
Dhambi hizo acha wewe.Mungu kashindane naye kwa maana umejiumba.
Rejea mwanzo Mungu aliumba hawa na adam.
Na walipodanganywa wakapewa adhabu halafu wakaenda kuishi wenyewe nje ya bustani iliojaa kila kitu.
Halafu wewe tamaa zenu ndio mnazipigia debe .
Mxiuuu lione hata haya huna basi kwa taarifa yako hata wanawake wanaojitambua wao nao wanaume zaidi ya mmoja .
Tuweke sawa mkuu, mimi si muislam nimetolea mfano uislam kutokana na mada husika.Naam basi ujue kwamba na jambo hili wapo ambao hawatofanya na hawapati dhambi kwa sababu sio kwamba wote ni lazima wawe hivyo.
Ingelikuwa wote lazima wawe hivyo basi ingekuwa ni lazima kwa wanaume wote.
Ukitizama katika aya mbalimbali utaona namna gani wenye shida mbalimbali wametolewa...
Mfano Allah ksbainisha kwamba funga ni lazima
Isipokuwa kwa wagonjwa au walioko safarini.
Maana yake hii ni lazima na wale wenye matatizo wametajwa lakini nature kwamba kila mmoja anaweza kufunga isipokuwa hao ndo wameruhusiwa.
Sasa katika hili la ndoa usitake kusema kwqmba Allah alisahau kusema "lazima muoe wake wengi sipokuwa kwa wenye shida mbali mbali"
Hapa unataka kumfundisha Allah bila shaka.
Kwa sababu laiti kama ingelikuwa hivyo Allah asingesahau kusema kwamba hili jambo ni lazima isipokuwa wenye shida mbalimbali.
Kwa sababu hao wenye shida mbalimbali wametajwa katika aya zingine,hivyo na aya hii ya kuoa wake wengi ingelikuwa awataje na wala hakushindwa kufanya hivyo.
Lakini kwa kuwa mnataka kumfundisha Allah busara na hekima na kwamba nyinyi mnamjua mwanaume basi endeleeni tu.
Mwanaume aliyekamilika anakuwa na sifa gani za kimaumbile ?
Msimamo sio hoja mkuu,wapo waislamu wenye misimamo ya hovyo tu ambayo haina tija.
Misomamo sio hoja,hatujadili misimamo tunajadili hoja ambazo zitasapoti misimamo hiyo.
Wapo masahaba walikuwa na mke mmoja na walizaa watoto.
Mwanaume aliyekamilika anakuwa na sifa gani kwa mujibu wa uislamu na sio kwa mujibu wako kwa sababu kila mtu ana tafsiri zake...
Nipe sifa ya mwanaume iyekamilika kwa mujibu wa uislamu
Ume-generalise bila kuwa na research yoyote. Tupo wengi tu na mimi ni mmoja wapo wenye mke/mwanamke mmoja. Inawezekana kabisa kuyashinda majaribu yote ukidhamiria kwa dhati.Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia). Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa
hii comment yako itamtoa ujinga wakeNi kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.
Ndiyo maana hata mkewako utakuta naye ana mtu wake mwingine lakini anakutunzia wewe heshima udhani uko peke yakoWewe utakuwa ni mwanaume tu na siyo MWANAUME!!
MWANAUME kuwa na mke mmoja ni udhaifu mkubwa! Muhimu ni heshima tu kwa mke halali! Mfano kwa sisi wakristu. Aamini kama yuko peke yake, kwa namna anavyopendwa na kuthaminiwa.
Kama wewe umeoa waliotumika ni wewe, wenzio wameoa bikra ndg.Sio kweli, hujawahi kumjua mke mwingine huko nyuma? yaani kufumba na kufumbua ni huyo tu. Na huyo mke uliyenae unadhani wewe ndiye wa kwanza kumkwichi? Usijidanganye mwenyewe.
Sawa mkuu nimekuelewa sasa unatakiwa uache kutumia hoja ya uislamu kwa sababu unapotumia hoja hiyo utaulizwa maswali ukashindwa kuyajibu.Tuweke sawa mkuu, mimi si muislam nimetolea mfano uislam kutokana na mada husika.
Mambo hayaendi kwa jinsi unavyoona wewe,kila mtu ana uoni wake.Uliuliza kwa nini Allah kaweka option suala ma mathna nami nikakujibu kwa jinsi ninavyoona kuwa huenda alifanya hivyo kwa sababu niliyotaja hapo juu.
Sasa uache kusema au kusapoti kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi hiku ukiegemeza maneno hayo kwamba hata Allah kakusudia hivyo alafu ukiulizwa unasema wewe sio muislamu.Kusema hivyo haimaanishi nampangia kazi Allah, siwezi na sina uwezo huo
Hujajibu swali.Kuhusu ukamilifu, kutokana na muktadha husika ukamilifu ninaozungumzia ni urijali.
Sasa ahpo ndo uone kwamba hata hao vinara wa uislamu hapo nyuma ambao waliishi na mtume alioleta uislamu kwa wakati huo hawakyona ulazima kama mabao unataka kutuaminisha hapa.Kuhusu suala na maswahaba wa Mtume kuwa na mke mmoja sidhani kama linanihusu sana sababu narudia si muislam nimetolea mfano tu kutokana mada husika
Kutoa thawabu haifidishi ama haioneshi kwamba jambo hilo ni lazima kwa watu wote kwamba hawawezi kuliepuka.Mwisho nikuulize kwa nini Allah atoe thawabu linapokuja suala la mathna kama halina umuhimu?
Sio mume ni hawara, mume ni mwanaume ambae umefunga nae ndoa.Ni kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.