Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Ha haaa eti uwezo hana. Sawa baba
Hana mkuu, japo wanafanya ila sio kwa kiwango kikubwa kama wanaume.

Ndio maana unaweza kuta babu wa miaka 70 ana mchepuko 😁😁, ila si rahisi kukuta mwanamke wa miaka hiyo eti ana mchepuko ni ajabu sana.

Ni nature tu, daima itadumu ivo
 
[emoji122][emoji122][emoji122] babu zetu waliushi maisha mazuri sana (vyakula vilikuwa vingi tena vya asili sio hii artificial walioa wanawake wengi, tena hawakutaliwa kama wanawake wa leo hii (50/50) wivu haukuwepo mume alikuwa wa wote
Maradhi ya ajabu hayakuwepo.

Dunia kuwa chungu chanzo ni mwanamke
 
Mkuu nimeanza mapenzi 1998, nimeshavuruga sana, mpaka sasa nimeona basi inatosha kilichobaki ni kutulia na mke mmoja

na bado naperfom vizuri shemeji/wifi yako ananielewa vibaya sana

halafu kwenye miaka 40 bado sana ila tayari nina watoto wawili
Nilioa nikaacha sa hv nataka kuoa tena ila kibingwa lakini (sitaki kuchangisha mtu)

mi mwenyewe nilikua nasema hivyo hivyo ila ukishapitia mengi utaona hakuna jipya
Bravo, kwa mbegu ulizojaliwa na ulivyovuruga haitoshi kuwa na watoto 2, kulikoni? Hazikuingia, ulizichomoa au nini?
 
UNAWEZA KUSEX NA WANAWAKE WENGI LAKIN UKAWA NA MWANAMKE MMOJA! siku zote huwa naheshim nature kwa kutofautisha kuwa na mwanamke na kufanya ngono. kuna hadi ngono bila emotion like a two people tennis game!
(recall movie ya friends with benefit).
wanawake hawalielew hili kwa sabab ngono yao lazima kuwe na emotion. lakin mwanaume anayejitambua hujikita zaid kwenye kuhakikisha anangonoka bila kudhuru mapenz yalipolalia. yan mwenzie si tu asijue bali hata ASIHISI!
nawashaur wanawake msijikite kuujua ukweli kuhusu mwenzio bali jikite kuona unapata unachostahili.
Hakika wewe umeielewa topic vilivyo na umeitendea haki. Kinachotakiwa ni asibaki mwanamke ambae amekosa wa kumuingilia au kuzaa nae.
 
Tumekuelewa. Subiri kuchomwa moto[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Utakapotembea na yule mwanamke aliyebalehe ambae Hana mwanaume wa kumtimizia tamaa zake za kimwili hakika sio TU kuwa mwanamke atakushuru sana lakini hata Mungu hatakuacha kwenye mapito yako. Kwani kila kitu ni mpango wake Mungu. Hata yule aliyeolewa asingeolewa kama sio wewe kumuoa,
 
Kuna mwenzenu kachomwa moto
Amekosea, angeondoka TU kama hapendi anachofanya mumewe ili akatafute aliyetuliaa (kama atampata). Kosa LA mwanaume ni kutokusema ukweli labda na kuacha matumizi.
 
Bravo, kwa mbegu ulizojaliwa na ulivyovuruga haitoshi kuwa na watoto 2, kulikoni? Hazikuingia, ulizichomoa au nini?
Sikutaka kuwa na mtoto wa nje mkuu japo katika hawa wawili mmoja ni wa nje japo ni mama mmoja
 
Ha haaa eti uwezo hana. Sawa baba
Uwezo wa kuwa na wengi wanao sana. Lakini kilichotokea ni mwanamke kuuzwa kwa wanaume kwa lugha ya mahari. Baada ya wazazi kumuuza binti Yao kwa mwanaume Kosa likaanzia hapo. Mwanaume akawa anammiliki mkewe kama property nyingine kwenye kaya. Hivyo akajiona mmiliki pekee wa mkewe kutokana na mahari aliyolipa.

50/50 lazima iendane na kukataa kununuliwa kwa lugha ya mahari.
 
Kuna jamaa yangu alienda kuoa akaambiwa mahari milioni tatu akatoa cash, wazazi wa mwanamke wakamrudishia laki saba, kisha wakamwambia, “mahari haimalizwi”
 
Ukimaliza mahari maana yake huyo mwanamke umenunua kabisaa na hawezi kurudi kwao tena hata mumewe akifa. Hata kwenda kusalimia ni marufuku na mume akifa shemeji anaendelea kula mzigo. Ni Mali Yao
 
Ndo maana yake, ukimaliza mali unakua umenunua
 
Tusipangiane maisha mkuuu,
Kama una mwanamke ambae nae analeta matumizi nyumbani basi kuwa mpole kaka. Kama una kitambi, una blood pressure kubwa, hernia au unasafiri sana kikazi endelea kuwa mpole zaidi, maana kauli yako hii haitamshangaza yeyote. Kama unachafua meza kwa chupa za pombe unazokunywa, ni chain smoker pia inakufaa ukae kimya. Kama umri umesogea unakaribia 60s pia kuwa na mke mmoja inaweza isiwe tabu kwako.
 
Mkuu tusipangiane maisha sawa?? Kila mtu na maisha yake na anapambana na hali yake, unakuta huu upuuzia unaoandika hata mke huna unakaa kwenu unakula ugali wa shikamoo, dogo labda nikwambie kitu mdogo wangu huo ujinga nmefanya mpaka bhs hakuna starehe ambayo siijui ila nmemua kutulia na wife najenga uchumi wa watoto sasa.

Kama wewe utakua na wanawake 100 ni maisha yako hakuna anaekupangia kila mtu ana perceptions zake. Usitake life unayoishi wewe na mwingine aishi kama wewe pole sana, ukikuaa utaacha kuongea pumba kama hzo
 
Mwanamume ameongea.

Huwezi kuwa umeacha TU hivihivi burebure, lazima una tatizo mahala. Uzito wako umeongezeka kuliko zamani, kifupi Kuna shida. Nature huwezi kuifungia kabatini.
 
Mkuu tusipangiane maisha sawa?? Kila mtu na maisha yake na anapambana na hali yake, unakuta huu upuuzia unaoandika hata mke huna unakaa kwenu unakula ugali wa shikamoo, dogo labda nikwambie kitu mdogo wangu huo ujinga nmefanya mpaka bhs hakuna starehe ambayo siijui ila nmemua kutulia na wife najenga uchumi wa watoto sasa.

Kama wewe utakua na wanawake 100 ni maisha yako hakuna anaekupangia kila mtu ana perceptions zake. Usitake life unayoishi wewe na mwingine aishi kama wewe pole sana, ukikuaa utaacha kuongea pumba kama hzo
Nature inakataa mtu kuchagua chakula kimoja kichaguliwe kiliwe asubuhi, mchana, usiku kila siku na milele hata kama chakula hicho ni kizuri na kitamu sana. Variety is the spice of life.
 
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia).
Huo ndo ukweli 100%. Inawezekana watu wengine wasipende kusikia hilo lakini ndo nature ilivyo.
 
Back
Top Bottom