Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
Hivi kabla ya yote, huyo "Mbowe" ni nani?
Mwenyekiti wa chama anayekosa kura ndani ya jimbo lake mwenyewe anawezaje kuwa na impact kwa Watanzania milioni 60?
 
Ndiyo demokrasia kukosoa mambo mabaya wacha aseme waliopo wasirudie tena mambo mabaya
 
Haya ngoja niendelee kusubiri hiyo miezi mitano nione itakuwaje!
Nalog off
 
Kama kweli mbowe anefikia hatua ya kutoa. Matamshi hayo bas anataka kuligawa hili taifaa
 

Mkuu zama za kupambana na upinzani upate uteuzi serikalini umepitwa na wakati,wewe endelea kuwa popoma
 
Zama za wachaga tra na tanesco zimekwisha mlijazana. Snaa kipindi hicho tokea kamishna mkuu wa tra bwana hery kittilya na kina mrmba wa tanesco lkn Hakuna mtu Alie ongeaa Hilo sas HV mnaona Kanda ya ziwa ikitawala maeneo nyeti mnaanza kuleta maneno eti wachaga hampati ajira serekalini ....
 
Mnachokisikia ni sehemu ya Uchafu mwingi ambao Mwendazake alifanya,tatizo mlishamgeuza Mungu wenu ndio maana hamuamini,

Watu wangapi wamekufa au kupotea kwa maagizo yake tu?Sabaya alikuwa anatekeleza maagizo ya nani kule hai?Kama hamtaki kusikia kamfufueni huyo Magufuli wenu aje ajibu sasa.
 
Toa ushahidi kama hayo unayosema ni maneno ya Mbowe?
 
Mtu anamsusiaga mtu aliyekuwa na ushirikia/ mahusiano na yeye. Wewe ni ccm mpaka damu yako ni ya kijani uataanzaje kumsusia mbowe? Labda nikufundushe namna ya kutunga hoja. Hapa ulitakiwa useme kwamba nawaombeni sana wanachama wenzangu wa CCM msijiunge na Chadema ila si kuwaambia wasusie wakati hawapo ndani ya chama chetu. Mbowe shikilia hapo hapo maana wameshaanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣
 

Ni hivi Mbowe ameongea ukweli uliopo. Pia Magufuli aliteua kwenye vyeo kwa kuangalia kanda ya ziwa na wakristo. Huo ndio ukweli.
 
Yaani propaganda ya chama kile ndio imefikia level hii.

Nilitegemea baada ya kubadilisha team kocha na magers nilitarjia better and focused approach lakini matokeo yake.

Naona watu wale wale na propaganda zile zile zilizoshindwa kwa kipindi chote.
 
makabia yako 120 lakini lipo kabila moja tu mhimu tz, kuna madhebu mbeng sana tz lakn yao madhebu mawili muhimu.tz tunahitaji
 
Ameshaanza kuchanganyikiwa sio bure,Kwa maneno hayo anaamini anajenga Chama, kumbe ni upumbavu tu

Tunachojua Mbowe kaongea ukweli, kwenye hicho chama hakihitaji kujengwa kwa kuficha ukweli. Ni hivi, dhalimu alikuwa na siasa za kibaguzi hilo halina mjadala.
 
Mleta post,unaongelea Chadema gani ,mbona ilishakufa jamani?

Na ilizikwa Chato kipindi Cha uchaguzi.

 
Kufukuzwa chuo tu mkuu ! Mandela kafungwa, tz watu wako magereza, wengine wamepigwa marisasi 36, wengine hatujui Kama wapo hai au la , Mbowe kalala gerezani mala kibao nje ya mateso mengine.

Kujikomboa kutoka utumwani sio KAZI nyepesi ,that's unalialia hapa maana hujui nini wakipigania ,ulitakiwa kua na tabasam maana maisha ya hapa duniani ni mafupi Sana , siku zote fanya Jambo hata Kama siku umekufa vizazi vikukumbuke sio unakufa hata kwenye tarafa hujulikani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…