Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Wapumbavu ni wengi Sana nchi hiiWanafukuzwa wazawa wanapewa waarabu afu kunatokea mapopoma yanashabikia upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu ni wengi Sana nchi hiiWanafukuzwa wazawa wanapewa waarabu afu kunatokea mapopoma yanashabikia upumbavu
Wanafikiri watakuwa na hayo mamlaka milele tutafukua hata makaburi yao na kupinga pingu mifupa yaoHiyo "Serikali" yako haina, narudia, HAINA adhma njema. Hakuna.
...na kwa Taarifa yako, hakuna Serikali isiyokuwa na Kikomo...
Mapenzi na Chama chako ndo yanayokuponza. HUPASWI KULAUMIWAHiyo "Serikali" yako haina, narudia, HAINA adhma njema. Hakuna...
Nchi ngumu sanatushangae wote mkuu vurugu zote hizo eti kuna mwekezaji ndo anamilikishwa kwani huko kwenye madini,gesi na mafuta hao wawekezaji wametuletea nini cha maana kama nchi mbali na wakubwa kulamba 10% zao tena wanapewa mikataba ya ajabu kweli si chini ya miaka 33 hadi 99! kwa afrika uongozi sio kuiletea nchi maendeleo bali ni ulaji na kutafuta ukwasi
Usinijaze ubongo wako Tafadhali.Mapenzi na Chama chako ndo yanayokuponza. HUPASWI KULAUMIWA
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Tanzania ni nchi yetu wote, Kila raia anaruhusiwa kuishi atakapo pia sheria inaruhusu rais kubadili matumiz ya ardhi kwa manufaa ya umma na serikali imejipanga vizur katika hili tuishukuru kwa kuwa na mkakati mzuri wa kuilinda ngorongoro kwa ajili yetu na vizazi vyetuWajidanganye kunyanyua miguu kutoka Masai land kwenda handen ndio wataisoma namba vizur
Mama Samia anaupiga mwingi wawekezaji NI mhim kwa uchumi wetutushangae wote mkuu vurugu zote hizo eti kuna mwekezaji ndo anamilikishwa kwani huko kwenye madini,gesi na mafuta hao wawekezaji wametuletea nini cha maana kama nchi mbali na wakubwa kulamba 10% zao tena wanapewa mikataba ya ajabu kweli si chini ya miaka 33 hadi 99! kwa afrika uongozi sio kuiletea nchi maendeleo bali ni ulaji na kutafuta ukwasi
Uhuru wa kuamua na kusema chochote ni matokeo ya serikali ya CCM kuwa madarakani, hata hivyo Mama Samia ameonyesha njia sahihi, kuwa upinzani haimanishi huwez kuona mazuri ya upande mwingineUsinijaze ubongo wako Tafadhali.
Kwanza, Hakuna wakuniponza, nabeba msalaba wangu mwenyewe...
Mkakati wa kuvunja sheria? Mkakati wa kuvurunda sheria?Tanzania ni nchi yetu wote, Kila raia anaruhusiwa kuishi atakapo pia sheria inaruhusu rais kubadili matumiz ya ardhi kwa manufaa ya umma na serikali imejipanga vizur katika hili tuishukuru kwa kuwa na mkakati mzuri wa kuilinda ngorongoro kwa ajili yetu na vizazi vyetu
Ili wakukusanyie mzigo wa kongolaa ukawauzie vijana wa watu mjini daslamu sioUsinijaze ubongo wako Tafadhali.
Kwanza, Hakuna wakuniponza, nabeba msalaba wangu mwenyewe...
Mimi nakuunga mkono
Wametafutia eneo handeni.Mbona unakuwa mlalamishi sana?Haliwezekani watanzania wenzenu waitwao Masai waendelee kuishi Kama wanyama, tunataka wawe na huduma Bora za kijamii Kama maji shule afya n.k
Mbona hueleweki mala ngolongolo lazima ilindwe Kwa nguvu zoote mala apewe mwekezaji nyie walamba miguuu mbona mnataka kuwa wapumbavu saaan jmnWewe NI miongoni wa watanzania wazalendo na wenye maono ngorongoro lazima ilindwe kwa nguvu zote
Inawezekana wawekezajitushangae wote mkuu vurugu zote hizo eti kuna mwekezaji ndo anamilikishwa kwani huko kwenye madini,gesi na mafuta hao wawekezaji wametuletea nini cha maana kama nchi mbali na wakubwa kulamba 10% zao tena wanapewa mikataba ya ajabu kweli si chini ya miaka 33 hadi 99! kwa afrika uongozi sio kuiletea nchi maendeleo bali ni ulaji na kutafuta ukwasi
KiLa kaya Moja imepewa nyumba serekali haiwezi kutoa nyumba mpaka kwa watoto
Nyie member wapya ni mamluki tuu hamna loloteRais wetu ni mtanzania hi habar ya uzanzibar wewe unaitoa wapi
na yeye wakamchomea nyumba! na pia laana inamtafuna mpaka vizazi vyake! hapa utakuwa umeelewaBaba yake Sabaya aliwahi kuwa DC wakati wa Hayati Mzee Mkapa …hakubembeleza bembeleza kama kina Samia mara sijui kujengea nyumba sijui makazi bora, yeye aliamka asubuhi na kutia kiberiti nyumba zote zilikuwa Serengeti wakati huo