Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

HIyo SAUZI hata wa SAUZI wenyewe wanaiogopa sembuse wewe maandazi mzamiaji? acheni kupotosha watu, hakuna nchi ya Hovyo kwenda kutafuta kama hiyo dunia nzima.
 
HIyo SAUZI hata wa SAUZI wenyewe wanaiogopa sembuse wewe maandazi mzamiaji? acheni kupotosha watu, hakuna nchi ya Hovyo kwenda kutafuta kama hiyo dunia nzima.
Hiyo SAUZI hata wa SAUZI wenyewe wanaigopa sembuse wewe maandazi mzamiaji? acheni kupotosha watu, hakuna nchi ya Hovyo kwenda kutafuta kama hiyo dunia nzima
 
South africa ipi hiyo unayosemea!!?
Ile ambayo huko fb kwenye group lao masailors kila siku ni "mzee baba tanzia,mzee baba hana nauli ya kurudi,mzee baba anaumwa yu hoi"!!? au hii wanayochoma mali za wageni kila siku na kuwataka warudi makwao
Anatangaza biashara ya mabasi huyo mkuu.

Sasa hujaelewa nini hapo?

Unataka atangaze biashara ya mabasi ya kwenda South Africa kwa kusema South Africa ni nchi mbaya msiende?
 
Sauzi hapafai mimi mdogo wangu alienda sauz since 2015 mpaka leo hajawahi kurudi na hakuna cha maana alichofanya na kuna mmoja ni jirani yetu alienda akakaa miaka 20 alirudishwa hajitambui kaparalyze baada ya kupata ajali yupo mpaka leo haongei yaaani sauz hawa ndugu zetu wakienda wanajisahau sana nikimkuta mtu anaenda sauz naona anapotea tu.
 
Wewe umesema ukweli,Safi kabisa
 
Bei za hoteli zipoje,'na mji gani mzuri,nataka kwenda kwa week mbili kuangalia mchongo fulani
 
Kuna mshkaj Wangu aliuliwa mwaka 2003,MwInge alirudi na ngoma akafariki
 
Mtaani kwenu wapi ambako mademu wenu wamefika SA na wanadharau wanaume ambao hawajaenda SA?
Anyway najua unatangaza Mkombe Trans.
 
Tatizo wanaenda bila kuaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…