Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

Ungetuambia ni deals gani ambazo ukizifanya huko SA unafanikiwa ingekua bora sana kuliko kutuambia tu twende SA.
 
Hapo ni jozy mkuu jiji hatari kuishi pengine ni zaidi ya NY
Sijui kwanini wanapakimbilia huko South. Wakati bongo kuna mishe kibao. Vijana wa Rwanda, burundi, kongo, malawi, zambia wanapakubali kichizi bongo kwenye suala la utafutaji. Ukifeli bongo basi huna sehemu utakayoenda kutusua
 
Hamuwezi wote mkakaa sehemu

Mmoja huko kongo,zambia,South,Brazil Iran Europe Afghanistan USA Argentina Japan Korea nk kote wako wabongo
Wanajihangaikia

Ova
 
Hakuna shari pale taiwan mjini, hakuna shari pale indonesia mjini, na kuna pesa chafu pale, watu wanauza madini nje nje, ni wewe na mapambano yako,
Ww unaongea nn ww. Unavyosema rahisi kutafuta pesa SA vijana wengi wanawaza waende na tumilioni tu... Acha ujinga watauza sigara, wataitwa pabaya wakafanye kazi, two days mtu ataja pigwa bastola mbele yake
 
Sijui kwanini wanapakimbilia huko South. Wakati bongo kuna mishe kibao. Vijana wa Rwanda, burundi, kongo, malawi, zambia wanapakubali kichizi bongo kwenye suala la utafutaji. Ukifeli bongo basi huna sehemu utakayoenda kutusua
Bongo ni kweli watu wanapiga mishe ila kwenye ulipaji wagumu sana ila zipo Nchi ambazo mtu kufanya manunuzi hajiulizi mara mbili na wananunua sana vitu vipya na hizo ndio Nchi rahisi kupata pesa kama Zambia,Malawi na SA watanzania tunaamini sana katika mtumba kwa hiyo ununuzi wetu sio mkubwa sana kama hizo Nchi hasa kwa wanaonza kutafuta maisha...
 
Bongo biashara inahitaji uvumilivu. Bila uvumilivu hutoboi utaishia Kufungua biashara hii kesho ukafunga ukafungua nyingine. Huko kwwingine biashara inaweza kukulipa ila linapokuja suala la usalama ndio kipengere. Muhimu safety kwanza mengine baadae
 
Na ripoti ni classified kama alivyosema ila ikafika mtaani kwao
CIA huwa wana release to the public all classified reports after 30 years. Hiyo report ni ya miaka ya 1500 mkuu sio ya jana. Na wao waliochukua kwenye maandiko ya kale ya Sumerians ( the Annunakis) Halafu kama umesoma vizuri sijasema watu wa mtaani wana act to the report. Hayo maelezo kuhusu report yana jitegemea yenyewe kama yenyewe wala hayana uhusiano wowote na mabaharia wa kitaani kwangu. So jielekeze vizuri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…