Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

Mkuu eli M

Hivi Mbowe ndiye alimkaribisha Lowassa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA? Na kwa nini walimruhusu?

Hivi kwa nini Zitto Kabwe aliondoka CHADEMA na kuanzisha chama chake?

Slaa kwa nini aliondoka CHADEMA? na sasa hivi yuko wapi?, kama Slaa alikuwa anapinga chama tawala ilikuwaje akakubali offer aliyopewa na serikali chini ya chama tawala?

Halima Mdee sasa hivi yuko wapi?
.....wote hao WABAYA WAKOROFI,MAPANDIKIZI....isipokuwa mzalendo mmoja tu....mzalendo mh.mfalme ,mwenyekiti wa maisha Freeman Mbowe 🤣🤣
 
Huko chadema ndio kuna sifa ipi kwa mfano!? Hawa majamaa hamna kitu wanaweza mwambia mtanzania mwenye akili. Watabaki huko twita, jf, wakisaidiwa na wafadhili wao CNN, BBC na wenzao

Ila kwetu sie wananchi tulio wengi tunasemaaaaa hamna kitu wanaweza kutuambia

View attachment 1866592View attachment 1866593
Ptuuuu mbakaaaa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mleta mada mjinga CCM tupo wengi tu na tuna uwezo mkubwa Sana. Msio CCM mmefanya nini nchi hii. Acha ufala.
Huko chadema ndio kuna sifa ipi kwa mfano!? Hawa majamaa hamna kitu wanaweza mwambia mtanzania mwenye akili. Watabaki huko twita, jf, wakisaidiwa na wafadhili wao CNN, BBC na wenzao

Ila kwetu sie wananchi tulio wengi tunasemaaaaa hamna kitu wanaweza kutuambia

View attachment 1866592View attachment 1866593
Hahahaa umeona sasa, ona umethibitisha sasa upimbi wako!
Hao ndio aina ya watu uliowazungumzia hapo juu,wameshindwa hata kujitofautisha na hili bandiko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu mtafakari mh.Mbowe....

Mfikirie vyema tu kuwa yeye ,kamati kuu na Dr.Slaa walikuwa na MKUTANO MKUBWA ULIOFANA pale Mwembeyanga Temeke.....

Mkutano ule wa hadhara uliibuka na kiitwacho "LIST OF SHAME"...ya kwamba CCM imetamalaki mafisadi wanaoitafuna nchi yetu....wakamshambulia Sana mh.Laigwanan E.N.Lowassa.....

Miaka michache baadaye WALIMPOKEA mh.Lowassa na KUMSAFISHA kwa zile tuhuma walizotoa.....

Mh.Mbowe aliongoza "KUPIGA DEKI" huko kwa kusema "AMEBADILI GIA ANGANI"🤣

KUBADILI HUKO GIA ANGANI kukamfanya Dr.Slaa AIKIMBIE NCHI na kusema HAWEZI KUGEUKA tambara la kusafisha uchafu......
👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Hii ndiyo CHADEMA YA MH.MBOWE....

Wakati wao wakiisema CCM imeishiwa na kupauka ,WAZEE WA GIA ANGANI wanakuachia "maswali mengi yasiyo majibu".......

#KaziIendelee
#SiempreCCM
Asee nimecheka sana....
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Shida ya Chadema ni kujiona wanajua kila kitu, na wengine wote vilaza.
 
Umesoma nilichokiandika? Umesoma ukaelewa au umesoma title ukajibu? Hebu tulia soma tena I am sure utakuja na observation na comment tofauti
 
Hebu mtafakari mh.Mbowe....

Mfikirie vyema tu kuwa yeye ,kamati kuu na Dr.Slaa walikuwa na MKUTANO MKUBWA ULIOFANA pale Mwembeyanga Temeke.....

Mkutano ule wa hadhara uliibuka na kiitwacho "LIST OF SHAME"...ya kwamba CCM imetamalaki mafisadi wanaoitafuna nchi yetu....wakamshambulia Sana mh.Laigwanan E.N.Lowassa.....

Miaka michache baadaye WALIMPOKEA mh.Lowassa na KUMSAFISHA kwa zile tuhuma walizotoa.....

Mh.Mbowe aliongoza "KUPIGA DEKI" huko kwa kusema "AMEBADILI GIA ANGANI"[emoji1787]

KUBADILI HUKO GIA ANGANI kukamfanya Dr.Slaa AIKIMBIE NCHI na kusema HAWEZI KUGEUKA tambara la kusafisha uchafu......
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Hii ndiyo CHADEMA YA MH.MBOWE....

Wakati wao wakiisema CCM imeishiwa na kupauka ,WAZEE WA GIA ANGANI wanakuachia "maswali mengi yasiyo majibu".......

#KaziIendelee
#SiempreCCM
Ptuuuu [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Chadema huwa hawana soni
Ukitaka ujue hawana SONI....

Kwa muda mrefu nimechunguza TABIA ZA WENGI WA WANACHADEMA,nakumaizi HULKA ZAO....

1)Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoamini kuwa taifa letu ni maskini kwa sababu ya CCM-Hawa wakimaliza vyuo na kupata kazi hususani SERIKALINI ,utawagundua WAMEPOA NA KUTOKUWA TENA NA "MISHIPA YA SHINGO KISIASA"....Wakikosa kazi na kutoajiriwa ,wako wanaoendeleza CHUKI ZA KISIASA dhidi ya CCM ,pia wako wachache wanaoachana na siasa za CHADEMA na kuwa "NEUTRAL" kwa kuwekeza nguvu zao kutafuta maisha kitaa.....

Nitaendelea.......
 
Mkuu eli M

Hivi Mbowe ndiye alimkaribisha Lowassa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA? Na kwa nini walimruhusu?

Hivi kwa nini Zitto Kabwe aliondoka CHADEMA na kuanzisha chama chake?

Slaa kwa nini aliondoka CHADEMA? na sasa hivi yuko wapi?, kama Slaa alikuwa anapinga chama tawala ilikuwaje akakubali offer aliyopewa na serikali chini ya chama tawala?

Halima Mdee sasa hivi yuko wapi?
Kwahiyo hizo ndo sababu za kuwa Gaidi
 
Kwahiyo huu ndio uchambuzi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu eli M

Hivi Mbowe ndiye alimkaribisha Lowassa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA? Na kwa nini walimruhusu?

Hivi kwa nini Zitto Kabwe aliondoka CHADEMA na kuanzisha chama chake?

Slaa kwa nini aliondoka CHADEMA? na sasa hivi yuko wapi?, kama Slaa alikuwa anapinga chama tawala ilikuwaje akakubali offer aliyopewa na serikali chini ya chama tawala?

Halima Mdee sasa hivi yuko wapi?
Unataka kusemaje? Mbona unazunguka tu? Jaribu kwenda straight kwenye hoja? Slaa, Zito na wengine wao wameondoka kwa maslahi binafsi, una swali lingine?
 
Uzi unasemaje na ww umepost nin?,mtoa post watu anaowazungumzia kwenye hii thread ww ni mmojawapo,hizi pumba zako ni za [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Wewe naweeee, kutwa kucha mnajadili CCM mara pro CCM halafu hamtaki kutajwa.

CCM mmewashindwa huu ni muda wa kupambana na mambo yenu😆😆
 
Unataka kusemaje? Mbona unazunguka tu? Jaribu kwenda straight kwenye hoja? Slaa, Zito na wengine wao wameondoka kwa maslahi binafsi, una swali lingine?
Hao MATAGA ni small minded
 
Back
Top Bottom