Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

Kama taifa tunahitaji vyama vingi kwa afya na ustawi wetu lakini hatuhitaji vikundi vya aina hii ya chadema
Wewe umeunda chama gani utuonyeshe mfano badala yake umebaki tu kulamba watu miguu. Very hopeless.
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Kweli tunao wapumbavu nchini.Huyu jamaa haujui ugonjwa wa covid 19 au Delta.Hajui athari zake.Ugonjwa huu ukisambaa uchumi wote utaanguka.Hakuna cha Chadema,wala CCM wala tajiri wala masikini,wala nani au nani.Eti Pro CCM wapuuzi.Huyu mlevi tu.Amani na Utulivu ni muhimu sana.Wapinzani kila kukicha wanagombana,hapo kuna usalama?Wakati wa Hayati Magufuli jwa udikteta wake mlifyata mkia.Sasa President Samia katuachia uhuru mnaanza kuandika upumbavu.
 
Kitu cha kwanza kabisa ili uweze kuwa mfuasi kindaki ndaki wa ccm lazima hata kama ulikuwa na utimamu wa akili uuweke pembeni ubaki na fuvu tupu
Duuh hatupendi kuwatukana kulikochupa mipaka....

Haya WATIMULIFU WA AKILI NI HAWA WAWILI🤣🤣

1)Mh.Mbowe(huyu mtimilifu kwelikweli.....🤣

2)Mh.Mnyika(huyu naye mtimilifu mno....mtimilifu kwelikweli 🤣

UKIKAA KATIKA NYUMBA YA VIOO USIUTAKE UGOMVI WA MAWE
 
Kweli tunao wapumbavu nchini.Huyu jamaa haujui ugonjwa wa covid 19 au Delta.Hajui athari zake.Ugonjwa huu ukisambaa uchumi wote utaanguka.Hakuna cha Chadema,wala CCM wala tajiri wala masikini,wala nani au nani.Eti Pro CCM wapuuzi.Huyu mlevi tu.Amani na Utulivu ni muhimu sana.Wapinzani kila kukicha wanagombana,hapo kuna usalama?Wakati wa Hayati Magufuli jwa udikteta wake mlifyata mkia.Sasa President Samia katuachia uhuru mnaanza kuandika upumbavu.
👍👋
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Hkuna hata mmoja Hawa unaoona wanapinga pinga humu wala sio wananchi wa kawaida. Wengi ni MaDED, MaDAS na MaDC wenye account fake.

Ndio hawa unaona kila utopolo wao wanatetea.
 
Kitu cha kwanza kabisa ili uweze kuwa mfuasi kindaki ndaki wa ccm lazima hata kama ulikuwa na utimamu wa akili uuweke pembeni ubaki na fuvu tupu

Walioweka akili pembeni wakabaki na mafuvu ni hawa hapa pamoja na mashabiki zao wote

20210724_195112.jpg
images (9).jpeg
 
Hkuna hata mmoja Hawa unaoona wanapinga pinga humu wala sio wananchi wa kawaida. Wengi ni MaDED, MaDAS na MaDC wenye account fake.

Ndio hawa unaona kila utopolo wao wanatetea.
Si kweli unenacho.....

Binafsi hii si ID feki....

Niko hapa kijiweni kwangu na dogo anayenisaidia kuwahudumia wateja kahawa ,tangawizi ,na Al Kasusu.....

Ninyi mnadhani kila kijana wa hali ya chini hawezi kuwa mwanaCCM 😲😲
Sijui hii mentality mnaipata wapi duuuh ....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Na wewe ni nani😂😂😂😂
 
Nilijua tu, sijawahi kukosea kumbe!
 
Walioweka akili pembeni wakabaki na mafuvu ni hawa hapa pamoja na mashabiki zao wote

View attachment 1866749View attachment 1866750
Ha ha ha 🤣🤣Laigwanan El Comandante ENL hakuwahi kuvaa KOMBATI kila uchao mpaka anarudi Lumumba.....

Siku ile anapokewa tena na kipenzi chetu hayati JPM kwa furaha alisema maneno machache tu:

1)Assalaam alaykum
2)Tumsifu Yesu Kristu
3)Nimerudi nyumbani msiniulize kwanini.

AKAMALIZA
*******************

Premier mstaafu Sumaye yeye alisema aliamua kuondoka baada ya kuambiwa"SUMU HAIONJWI...."

Maneno hayo "YALITAMKA NA KIONGOZI MMOJA MKUBWA KABISA HUKO CHADEMA.... "

Sumu gani hiyo ?!!!

Kwa hiyo MDUDE akisema "nitautumia tena WEMBE...." Basi tunaunganisha DOTS na kubaki na maswali kichwani......🤣🤣
 
....ndio maana kwa mtu makini akizisikia TUHUMA ZA UGAIDI....hazipuuzi.....kwa makundi niliyotaja hapo juu....hakika HUWEZI KUWAPUUZA....hapohapo vijana wao wanahanikiza "MWAMBIENI MAMA YENU ,TUTAUTUMIA WEMBE ULEULE TULIOMNYOA JPM NA TUMNYOE NA YEYE"....😲😲😲

WEMBE.....
WEMBE.....
WEMBE....

Wembe gani huo ?!!
Tukiuulizia huo WEMBE ,tunajibiwa kuwa CCM hatuna uwezo wa kufikiri(diversion 🤣🤣)
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Kweli tunao wapumbavu nchini.Huyu jamaa haujui ugonjwa wa covid 19 au Delta.Hajui athari zake.Ugonjwa huu ukisambaa uchumi wote utaanguka.Hakuna cha Chadema,wala CCM wala tajiri wala masikini,wala nani au nani.Eti Pro CCM wapuuzi.Huyu mlevi tu.Amani na Utulivu ni muhimu sana.Wapinzani kila kukicha wanagombana,hapo kuna usalama?Wakati wa Hayati Magufuli jwa udikteta wake mlifyata mkia.Sasa President Samia katuachia uhuru mnaanza kuandika upumbavu.
Hata sijui umeandika nini? Jifunze kuandika kwanza, then chagua MTU wa kujifunzia kujibu! Mbona hoja yangu iko wazi sana? Shida iko wapi?
 
Ha ha ha 🤣🤣Laigwanan El Comandante ENL hakuwahi kuvaa KOMBATI mpaka anarudi Lumumba.....

Siku ile anapokewa tena na kipenzi chetu hayati JPM kwa furaha alisema maneno machache tu:

1)Assalaam alaykum
2)Tumsifu Yesu Kristu
3)Nimerudi nyumbani msiniulize kwanini.

AKAMALIZA
*******************

Premier mstaafu Sumaye yeye alisema aliamua kuondoka baada ya kuambiwa"SUMU HAIONJWI...."

Maneno hayo "YALITAMKA NA KIONGOZI MMOJA MKUBWA KABISA HUKO CHADEMA.... "

Sumu gani hiyo ?!!!

Kwa hiyo MDUDE akisema "nitautumia tena WEMBE...." Basi tunaunganisha DOTS na kubaki na maswali kichwani......🤣🤣
Ndio akili zenu ninazosema kuwa hamuwezi kujadili genuine issues, yaani nyie MNA Lowasa, Sumaye, Mbowe na CHADEMA, hamna kitu zaidi ya hapo
 
Si kweli unenacho.....

Binafsi hii si ID feki....

Niko hapa kijiweni kwangu na dogo anayenisaidia kuwahudumia wateja kahawa ,tangawizi ,na Al Kasusu.....

Ninyi mnadhani kila kijana wa hali ya chini hawezi kuwa mwanaCCM 😲😲
Sijui hii mentality mnaipata wapi duuuh ....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
kuna kategori mbili tu ccm, Fisadi na mwimba mapambio na maskini sana wa akili na pesa. Wale wa Saizi ya kati wote hatuko huko
 
Mkuu unaidharau kazi yangu inayo ipa dagaa wa halali ?!!!
Hapana, hapana, hapana, tena naomba nitake radhi, sijawahi kudharau kazi yoyote ya MTU yoyote, mimi nawaheshimu sana Barmaids, Wapiga debe na watu wote kwa ujumla, kwa hili wala sisubiri nisifiwe na MTU. Nakuheshimu sana ila tu tunaweza kutofautiana mitizamo na ndio maana huwa najadili hoja na sio watu. Naamini umenilewa. Barikiwa
 
Back
Top Bottom