mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hahahahaha nasikia CCM mmekimbilia kujichanja wenyewe kimya kimya huko, Nyie watu nyie dah, mkitoka hadharani mnasema Hamtaki chanjo ya mabeberu then mnaenda kuchanjwa kimya kimya.
View attachment 1866806
Msimchukulie Rais SSH powa, ni imara zaidi ya mnavyofikiria
Chuma hunoa chuma
Wanaogawa chanjo wanavaa barakoa🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️