mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Zamani sanaaaaaChadema iliondoka na dr slaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani sanaaaaaChadema iliondoka na dr slaa
Sawa mkuu....Hapana, hapana, hapana, tena naomba nitake radhi, sijawahi kudharau kazi yoyote ya MTU yoyote, mimi nawaheshimu sana Barmaids, Wapiga debe na watu wote kwa ujumla, kwa hili wala sisubiri nisifiwe na MTU. Nakuheshimu sana ila tu tunaweza kutofautiana mitizamo na ndio maana huwa najadili hoja na sio watu. Naamini umenilewa. Barikiwa
Hapana hapana, tutazungumza yooote,z tutatofautiana kwenye kila kitu ila KAMWE siwezi kugusa vitu vifuatavyo, Moja, IMANI ya MTU, pili, Utu wa MTU, tatu WAZAZI! Hayo kamwe, kamwe siwezi kuyasema, nayaheshimu na ndio my Life principles, kuwa na amani sana sana. Niko very matured Mpwa. JF ni kijiwe tu cha kujenganaSawa mkuu....
Nilitaka kushangaa tu uliposema "ndio maana...."
Ok ndugu 👍
🤣Na wewe ni nani😂😂😂😂
Awesome .....👍Hapana hapana, tutazungumza yooote,z tutatofautiana kwenye kila kitu ila KAMWE siwezi kugusa vitu vifuatavyo, Moja, IMANI ya MTU, pili, Utu wa MTU, tatu WAZAZI! Hayo kamwe, kamwe siwezi kuyasema, nayaheshimu na ndio my Life principles, kuwa na amani sana sana. Niko very matured Mpwa. JF ni kijiwe tu cha kujengana
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.
Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!
Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.
Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.
CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Hahahahaha nasikia CCM mmekimbilia kujichanja wenyewe kimya kimya huko, Nyie watu nyie dah, mkitoka hadharani mnasema Hamtaki chanjo ya mabeberu then mnaenda kuchanjwa kimya kimya.Karibu CCM mwana....🤣
Hahaha yaani Yule Braza sijui kanipa nini aisee. Sprit yake ya kufanya kazi mult-tasking ilinivutia sana.Mfuasi mtiifu wa Tundu 🤣🤣
Ndivyo walivyo. Wanacheza kulingana na mdundo. Hawapo kwa maslahi ya taifa letu wengi wao. [emoji1303][emoji1303][emoji1303]Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.
Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!
Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.
Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.
CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Sawa.....kuna kategori mbili tu ccm, Fisadi na mwimba mapambio na maskini sana wa akili na pesa. Wale wa Saizi ya kati wote hatuko huko
Hahahaa umeona sasa, ona umethibitisha sasa upimbi wako!
Hiki chama ni cha wajanja wajanja wapigaji tu, Bahati mbaya kuna watanzania wameingia cha kike na kuwaamini. Inawezekana vipi makamu mwenyekiti anaongoza chama kupitia mitandao ya kijamii na wakati kuna wanachama wapo active hapa tz?Hebu mtafakari mh.Mbowe....
Mfikirie vyema tu kuwa yeye ,kamati kuu na Dr.Slaa walikuwa na MKUTANO MKUBWA ULIOFANA pale Mwembeyanga Temeke.....
Mkutano ule wa hadhara uliibuka na kiitwacho "LIST OF SHAME"...ya kwamba CCM imetamalaki mafisadi wanaoitafuna nchi yetu....wakamshambulia Sana mh.Laigwanan E.N.Lowassa.....
Miaka michache baadaye WALIMPOKEA mh.Lowassa na KUMSAFISHA kwa zile tuhuma walizotoa.....
Mh.Mbowe aliongoza "KUPIGA DEKI" huko kwa kusema "AMEBADILI GIA ANGANI"[emoji1787]
KUBADILI HUKO GIA ANGANI kukamfanya Dr.Slaa AIKIMBIE NCHI na kusema HAWEZI KUGEUKA tambara la kusafisha uchafu......
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hii ndiyo CHADEMA YA MH.MBOWE....
Wakati wao wakiisema CCM imeishiwa na kupauka ,WAZEE WA GIA ANGANI wanakuachia "maswali mengi yasiyo majibu".......
#KaziIendelee
#SiempreCCM
Mwanaccm maslahi.Sawa.....
Ila mimi si maskini wa fikra....kwa pesa ni kweli sina kama ulivyo wewe kundi la Kati kiuchumi....its undisputable....
Ninaijua vyema itikadi ya CCM ,malengo yake na historia kuntu ya nchi hii....sijali mafisadi wachache....sijali middle income wachache...wengi wa wanachama wa CCM ni wananchi wa hali ya chini kabisa(wanajivunia utanzania wao na utulivu wa taifa lao kuliko kuwa materialistic)...
Ninaitafuta RIZKI yangu halali kupitia jasho langu na ninaridhika kulisha vitoto vyangu cha halali na wanafurahi mkuu!
#SiempreCCM
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Nadhani sasa nilichokiongea kinazidi kuthibitika wazi kabisa, unaongea Hiki Pro CCM anakuja na kilichomo akilini mwake.Mngekua na akili mngekua mshajenga ofisi kitambo sana mil 400 kwa mwezi unaongelea billions of money kwa mwaka mngekua na ofisi saaahv. ila kwa sababu akili zmewapauka endeleeni ivo ivo mpaka mwenye ile guest awafukuze
Jumbe, wacha kujishusha kiasi Hiki please, don't take it too personal, ni mijadala ya afya ya akili tu. Asante kunielewaSawa.....
Ila mimi si maskini wa fikra....kwa pesa ni kweli sina kama ulivyo wewe kundi la Kati kiuchumi....its undisputable....
Ninaijua vyema itikadi ya CCM ,malengo yake na historia kuntu ya nchi hii....sijali mafisadi wachache....sijali middle income wachache...wengi wa wanachama wa CCM ni wananchi wa hali ya chini kabisa(wanajivunia utanzania wao na utulivu wa taifa lao kuliko kuwa materialistic)...
Ninaitafuta RIZKI yangu halali hata Kama ndogo kupitia jasho langu na ninaridhika kulisha vitoto vyangu cha halali na wanafurahi mkuu!
#SiempreCCM
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Unaweza kusema lolote mkuu....Mwanaccm maslahi.
Tunaongea kwa experience. Hali iliyopita ya miaka mitano ilikuwa jehanamu kwa kiumbe mwenye akili na dhamiri. Lakini nyie wanufaika mnaisifia sana na kuipongeza.Unaweza kusema lolote mkuu....
Hivi huko ukiwaona akina MDUDE NYAGALI na uzalendo/uthubutu alionao basi mnajua UVCCM wote wamejaa "vitambi" tu,wako kimaslahi tu....notion ya hovyo kabisa....mkuu huku kuna GREEN GUARD pia....endelea kujifurahisha nafsi yako....
Ha ha ha 🤣🤣Laigwanan El Comandante ENL hakuwahi kuvaa KOMBATI kila uchao mpaka anarudi Lumumba.....
Siku ile anapokewa tena na kipenzi chetu hayati JPM kwa furaha alisema maneno machache tu:
1)Assalaam alaykum
2)Tumsifu Yesu Kristu
3)Nimerudi nyumbani msiniulize kwanini.
AKAMALIZA
*******************
Premier mstaafu Sumaye yeye alisema aliamua kuondoka baada ya kuambiwa"SUMU HAIONJWI...."
Maneno hayo "YALITAMKA NA KIONGOZI MMOJA MKUBWA KABISA HUKO CHADEMA.... "
Sumu gani hiyo ?!!!
Kwa hiyo MDUDE akisema "nitautumia tena WEMBE...." Basi tunaunganisha DOTS na kubaki na maswali kichwani......🤣🤣
Mbona mmeshindwa kuwatoa madarakani? 🙄Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.
Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!
Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.
Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.
CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Jumbe, wacha kujishusha kiasi Hiki please, don't take it too personal, ni mijadala ya afya ya akili tu. Asante kunielewa