Hahahahaha nasikia CCM mmekimbilia kujichanja wenyewe kimya kimya huko, Nyie watu nyie dah, mkitoka hadharani mnasema Hamtaki chanjo ya mabeberu then mnaenda kuchanjwa kimya kimya.
View attachment 1866806
🤣🤣SUMU HAIONJWI - dikteta wa cdm
Mbona mmeshindwa kuwatoa madarakani? 🙄
Hapa ndipo chadema walipoteza maksi zote za chama bora cha upinzaniSasa hapa tunajadili nini? Au nasema uongo ndugu zangu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 1866583View attachment 1866584
Akhsante sana kwa kututhibitishia ukweli wa maandishi ya mleta uzi.Huko chadema ndio kuna sifa ipi kwa mfano!? Hawa majamaa hamna kitu wanaweza mwambia mtanzania mwenye akili. Watabaki huko twita, jf, wakisaidiwa na wafadhili wao CNN, BBC na wenzao
Ila kwetu sie wananchi tulio wengi tunasemaaaaa hamna kitu wanaweza kutuambia
View attachment 1866592View attachment 1866593
Buddy.....Hahahahaha nasikia CCM mmekimbilia kujichanja wenyewe kimya kimya huko, Nyie watu nyie dah, mkitoka hadharani mnasema Hamtaki chanjo ya mabeberu then mnaenda kuchanjwa kimya kimya.
View attachment 1866806
Pythagoras ujue unajichanganya Kaka....Tunaongea kwa experience. Hali iliyopita ya miaka mitano ilikuwa jehanamu kwa kiumbe mwenye akili na dhamiri. Lakini nyie wanufaika mnaisifia sana na kuipongeza.
Na halafu ukiwakumbusha hilo wanakula konaHapa ndipo chadema walipoteza maksi zote za chama bora cha upinzani
🤣Mbona mmeshindwa kuwatoa madarakani? 🙄
Akijibu hili swali mni tag please
...CHUMA hunoa CHUMA....👊💪Msimchukulie Rais SSH powa, ni imara zaidi ya mnavyofikiria
Chuma hunoa chuma
Wanaogawa chanjo wanavaa barakoa🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Wewe ni miongoni mwa wale wana CCM wachache wanaojitambua. GoodBuddy.....
Binafsi nimekuwa ADVOCATE wa hiyo CHANJO tangu awamu ya 5.......
Nimekuwa nikisema SAYANSI na SIASA ni vitu viwili tofauti....
Binafsi nilikuwa ninaisubiria hiyo chanjo kwa hamu mno...hapa kijiweni kwangu tumeshakuwa na wadau wanaopinga hiyo chanjo kupita maelezo ila leo hii wako wengi wamebadilika......
Mimi ninausubiri utaratibu utufikie TUDUNGWE then tupambane na huo UGONJWA ili incase we contract it ,we don't step into it's complications....
Tunazungumzia Hiki mnajadili kile, nikisema hamna kitu hamuaminiHapa ndipo chadema walipoteza maksi zote za chama bora cha upinzani
Duuh 🤣🤣🤣Mngekua na akili mngekua mshajenga ofisi kitambo sana mil 400 kwa mwezi unaongelea billions of money kwa mwaka mngekua na ofisi saaahv. ila kwa sababu akili zmewapauka endeleeni ivo ivo mpaka mwenye ile guest awafukuze
Nadhani sasa nilichokiongea kinazidi kuthibitika wazi kabisa, unaongea Hiki Pro CCM anakuja na kilichomo akilini mwake.
CHADEMA wanajenga ofisi zao wenyewe nchi nzima! CCM hawana hata kibanda for your own information, walipora majengo ya kipindi hicho! So you better shut up
Tuko wengi tu mkuu....Wewe ni miongoni mwa wale wana CCM wachache wanaojitambua. Good
🤣🤣Ha ha ha makamu mwenyekiti anasema ATAIONGOZA kamati itakayozunguka DUNIANI kuwaambia wadau WATUNYIME MISAADA NA MIKOPO....Hiki chama ni cha wajanja wajanja wapigaji tu, Bahati mbaya kuna watanzania wameingia cha kike na kuwaamini. Inawezekana vipi makamu mwenyekiti anaongoza chama kupitia mitandao ya kijamii na wakati kuna wanachama wapo active hapa tz?
Chama hakina ajenda, wao ni kudakia mada mpya kila siku..
Kamuulize Sabaya...Kwahiyo hizo ndo sababu za kuwa Gaidi
Shame on youKamuulize Sabaya...