SahihiBadala ya kuishi kwa matamko ya viongozi; suala la kutokula kipindi cha Ramadhan huko Zanzibar lingerasimishwa kwa kutungiwa sheria au kuingizwa kwenye katiba zote mbili - ya Zanzibar na ya Muungano ili kila mwananchi afahamu na liwe enforceable na wasimamizi wa sheria bila ukakasi.
Sio sawa kuishi kwa kuviziana.
Wewe ulikuwepo ? Nionyeshe wapi Yesu kala nguruwe japo walikuwa wengi.Nimekuuliza alipokuepo Galilaya wewe ulikuepo?
Kale uone ! Mnakosa kazi kufuatilia sheria za watu kachambue ripot ya CAG ya huko hayakuhusu.Msimamo wanao Wafuga majini lakini ni Msimamo wa Kijinga vile wamejaa ujinga kichwani 🤣🤣🤣
Watakan...kata
Onyesha wapi alikula acha porojo dogo😂😂Galilaya
Hakuna Sheria ya Watu, kuna sheria ya Nchi na ya Allah, unaelewa?Kale uone ! Mnakosa kazi kufuatilia sheria za watu kachambue ripot ya CAG ya huko hayakuhusu.
Waislam wa Pwani ndio Waasisi wa Ushoga, mlianza kuwachafua wake zenu tupu za nyuma, mkaona haitoshi mkaanza kutoana marinda na mnaita SunnaKwa hiyo Kisura wa Mbeya humjui ?,wale papa pale vatican hujui? Tena mnabariki kabisa .
Aliyebadili jinsia tena mzee wake kiongozi wa kanisa.
Chakula kingi kipo bara, kwanini nikale huko?Kale uone ni bakora tu 😂😂
Mijitu imefunga bado inabambikia watu kesi za uwongo..
Kuna mkuu wa wilaya huko unguja anasema ile video ya jamaa alikuwa anachapwa ni ya 2017 na ni kwa kosa la ulevi.
Huku akitanabaisha kwamba zanzibar hakuna sheria inayokataza mtu kula
Ni uhuni tu wa vijana wasio na kazi kusumbua jamii [emoji846][emoji846]
Jamaa dini yao wanaona aibu wao
Yeah, hiyo nzuri. Ipitishwe tu sheria mtanzania yeyote ni lazima kufunga ramadhan.Badala ya kuishi kwa matamko ya viongozi; suala la kutokula kipindi cha Ramadhan huko Zanzibar lingerasimishwa kwa kutungiwa sheria au kuingizwa kwenye katiba zote mbili - ya Zanzibar na ya Muungano ili kila mwananchi afahamu na liwe enforceable na wasimamizi wa sheria bila ukakasi.
Sio sawa kuishi kwa kuviziana.
Mambo ya jirani hayatuhusu acha wapambane wenyewe,sababu hata faida ya muungano mpaka uende GooglePolisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.
Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.
Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.
Ya Alllah...ILa akafundisha ulimwengu njia bora ya kuishi, na mwenyezi mungu alimtumia yeye makusudi ili kufikisha ujumbe duniani, laiti angekuwa msomi basi makafir mngezusha katunga quran .
Naam mvinyo siyo maana yake unalewesha mkuu mbona kuna 0% alcohol drinks nyingi tu hapo cha ajabu ni kipiYa Alllah...
Lakini Mudy na Allah wakatushangaza sana kutukataza kutumia Pombe na kusema ni Haramu lakini eti kule Akhera kutakuwa na mifereji ya Mvinyo 🤣🤣🤣
So tutende mema ili tukanywe mvinyo peponi?
Yaanni hata asome vipi, jitu linakuwa hadi professor, lakini ikija kwenye suala la dini, ubongo wote anaumwaga chini, utakuta anakwambia mtoto wa miaka 14 aolewe mke wa nne kwa ruhusa ya wazazi.., yaani yanatetea tamaa za kingono kwa mgongo wa dini, na jitu limesoma kabisaMahakama ya kadhi iliishia wapi?
Ila muislamu hata aende shule huwa lazima awe na kaupumbavu fulani sijui kwanini!
Kuna kipindi nilikuwa pemba, site mwezi wa Ramadhani, tunatoka hotelini na vyakula vyetu, tena umevinunua jana jioni, watu wanakuja site kushangaa, jinsi mnavyojenga, wao wamefunga, eti ukitaka kula utoke hapo uende polini kujificha, ili usiwatamanishe, tulikataaa, tukasema sisi tupo site na ni polini, huku wao ndio wametufuata huku, hatujawaita, kula tena niwakimbie, alikuja hadi shehaa, wakamuita mkuu wa wilaya wete, yeye alikuwa muelewa, akawapa somo, walitoka hapo wanatuita hao MAKOBE TU!!Mahakama ya kadhi iliishia wapi?
Ila muislamu hata aende shule huwa lazima awe na kaupumbavu fulani sijui kwanini!
Na uzururaji wenyewe ni WA kuzurura Kwa mguu,Kosa la uzururaji lenyewe ni la kizushi sana.
Kwa sababu Mtanzania kuzurura sehemu yoyote iliyo open to the pubkic Tanzania ni haki yake ya kikatiba.
Sasa, uzururaji maana yake nini? Na kwa nini kumpa mtu kosa la uzururaji wakati katiba inatoka haki ya kuzunguka nchi nzima, si kuvunja katiba?
Its unfortunate that Z'bar gvt use Ramadhan as an opportunity to terrorise Christian minorities by capturing them, beating them and holding them hostage! Simply because they are excersing their religiuos freedom!Mbona hawa waislamu wa hapa Dar na maeneo mengine ya Tanganyika hawana ya waislamu w Zanzibar.
Tunasema Kesi Za KubambikiziaPolisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.
Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.
Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.