Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

Badala ya kuishi kwa matamko ya viongozi; suala la kutokula kipindi cha Ramadhan huko Zanzibar lingerasimishwa kwa kutungiwa sheria au kuingizwa kwenye katiba zote mbili - ya Zanzibar na ya Muungano ili kila mwananchi afahamu na liwe enforceable na wasimamizi wa sheria bila ukakasi.

Sio sawa kuishi kwa kuviziana.
Sahihi
 
Msimamo wanao Wafuga majini lakini ni Msimamo wa Kijinga vile wamejaa ujinga kichwani 🤣🤣🤣

Watakan...kata
Kale uone ! Mnakosa kazi kufuatilia sheria za watu kachambue ripot ya CAG ya huko hayakuhusu.
 
Kwa hiyo Kisura wa Mbeya humjui ?,wale papa pale vatican hujui? Tena mnabariki kabisa .

Aliyebadili jinsia tena mzee wake kiongozi wa kanisa.
Waislam wa Pwani ndio Waasisi wa Ushoga, mlianza kuwachafua wake zenu tupu za nyuma, mkaona haitoshi mkaanza kutoana marinda na mnaita Sunna

Astakhafirullah Wallah.....! 🤣

Hivi sasa kuna akina Aunt Abuu, Aunt Rama na wengine

TAKIBIIIIR.....!
 
Mijitu imefunga bado inabambikia watu kesi za uwongo..
Kuna mkuu wa wilaya huko unguja anasema ile video ya jamaa alikuwa anachapwa ni ya 2017 na ni kwa kosa la ulevi.
Huku akitanabaisha kwamba zanzibar hakuna sheria inayokataza mtu kula
Ni uhuni tu wa vijana wasio na kazi kusumbua jamii [emoji846][emoji846]
Jamaa dini yao wanaona aibu wao

Hao wanaowachapa watu wanaokula.mchana kwenye mwanga, kama mchana kwenye mwanga wanafanya hivi, wanapokuwa wamebadilisha ratiba ya kula, badala ya kula mchana, kuamua kula usiku, ni mangapi wanayafanya katika giza hilo la usiku? Hii ni funga ya kinafiki ambayo inaweza kuwa chukizo mbele za Mungu.

Mungu wa kweli ni Mungu wa upendo. Kinyume cha hapo ni ushetani.
 
Badala ya kuishi kwa matamko ya viongozi; suala la kutokula kipindi cha Ramadhan huko Zanzibar lingerasimishwa kwa kutungiwa sheria au kuingizwa kwenye katiba zote mbili - ya Zanzibar na ya Muungano ili kila mwananchi afahamu na liwe enforceable na wasimamizi wa sheria bila ukakasi.

Sio sawa kuishi kwa kuviziana.
Yeah, hiyo nzuri. Ipitishwe tu sheria mtanzania yeyote ni lazima kufunga ramadhan.
 
Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.

Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.

Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.
Mambo ya jirani hayatuhusu acha wapambane wenyewe,sababu hata faida ya muungano mpaka uende Google
 
ILa akafundisha ulimwengu njia bora ya kuishi, na mwenyezi mungu alimtumia yeye makusudi ili kufikisha ujumbe duniani, laiti angekuwa msomi basi makafir mngezusha katunga quran .
Ya Alllah...

Lakini Mudy na Allah wakatushangaza sana kutukataza kutumia Pombe na kusema ni Haramu lakini eti kule Akhera kutakuwa na mifereji ya Mvinyo 🤣🤣🤣

So tutende mema ili tukanywe mvinyo peponi?
 
Ya Alllah...

Lakini Mudy na Allah wakatushangaza sana kutukataza kutumia Pombe na kusema ni Haramu lakini eti kule Akhera kutakuwa na mifereji ya Mvinyo 🤣🤣🤣

So tutende mema ili tukanywe mvinyo peponi?
Naam mvinyo siyo maana yake unalewesha mkuu mbona kuna 0% alcohol drinks nyingi tu hapo cha ajabu ni kipi
Na siyo hayo tu nguruwe mmeambiwa msile leo madhara yake hao wazungu wenu wameshawaambia kuwa ina nadhara makubwa kiafya ila hamsikii
 
Mahakama ya kadhi iliishia wapi?
Ila muislamu hata aende shule huwa lazima awe na kaupumbavu fulani sijui kwanini!
Yaanni hata asome vipi, jitu linakuwa hadi professor, lakini ikija kwenye suala la dini, ubongo wote anaumwaga chini, utakuta anakwambia mtoto wa miaka 14 aolewe mke wa nne kwa ruhusa ya wazazi.., yaani yanatetea tamaa za kingono kwa mgongo wa dini, na jitu limesoma kabisa
 
Mahakama ya kadhi iliishia wapi?
Ila muislamu hata aende shule huwa lazima awe na kaupumbavu fulani sijui kwanini!
Kuna kipindi nilikuwa pemba, site mwezi wa Ramadhani, tunatoka hotelini na vyakula vyetu, tena umevinunua jana jioni, watu wanakuja site kushangaa, jinsi mnavyojenga, wao wamefunga, eti ukitaka kula utoke hapo uende polini kujificha, ili usiwatamanishe, tulikataaa, tukasema sisi tupo site na ni polini, huku wao ndio wametufuata huku, hatujawaita, kula tena niwakimbie, alikuja hadi shehaa, wakamuita mkuu wa wilaya wete, yeye alikuwa muelewa, akawapa somo, walitoka hapo wanatuita hao MAKOBE TU!!
 
Kosa la uzururaji lenyewe ni la kizushi sana.

Kwa sababu Mtanzania kuzurura sehemu yoyote iliyo open to the pubkic Tanzania ni haki yake ya kikatiba.

Sasa, uzururaji maana yake nini? Na kwa nini kumpa mtu kosa la uzururaji wakati katiba inatoka haki ya kuzunguka nchi nzima, si kuvunja katiba?
Na uzururaji wenyewe ni WA kuzurura Kwa mguu,

Ukizirura Kwa kutumia gari, kamwe huwezi pewa case ya uzururaji,Utaitwa mtalii.
 
Kisheria sio kosa bali kidini ni dhambi.
Dhambi na kosa ni vitu viwili tofauti
 
Mbona hawa waislamu wa hapa Dar na maeneo mengine ya Tanganyika hawana ya waislamu w Zanzibar.
Its unfortunate that Z'bar gvt use Ramadhan as an opportunity to terrorise Christian minorities by capturing them, beating them and holding them hostage! Simply because they are excersing their religiuos freedom!
 
Wazenji watu wa ajabu sana. Zanzibar Kwa miaka zaidi ya mia mbili Kuna wakristo Kule. Wakiishi na kutenda ibada zao . Wote ni wananchi wa ardhi Ile. Iweje waislam wanaigiza Kwa maguvu kwamba zanzibar ni kwao zaidi kuliko hao wenzao?
Tubadilike sisi ni watanzania. Tuishi Kwa uhuru kama katiba isemavyo
 
Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.

Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.

Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.
Tunasema Kesi Za Kubambikizia
Ngoja Waje Watu Wa Kitanda Ndiyo Jeneza Lako,Swali Kabla Hujaswaliwa
 
Back
Top Bottom