Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
SahihiBadala ya kuishi kwa matamko ya viongozi; suala la kutokula kipindi cha Ramadhan huko Zanzibar lingerasimishwa kwa kutungiwa sheria au kuingizwa kwenye katiba zote mbili - ya Zanzibar na ya Muungano ili kila mwananchi afahamu na liwe enforceable na wasimamizi wa sheria bila ukakasi.
Sio sawa kuishi kwa kuviziana.