Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Lete hapa palipoandikwa TAIFA LA ISRAEL??
Mbona ni swali rahisi sana?
Ndio maana nikakwambia shida yako ni C&P halafu huna ulielewalo.
Taifa la Palestina limetajwa kwenye Quran,?.!! Haahahaha kwani nchi gani hazijatajwa na leo zipo na wala hamna shida wewe unatafuta Justification gani? Biblia imetaja vema taifa la Israel basi
 
In your eyes dividing India 🇮🇳 so that Muslims can have their own land was ok but dividing Palestine mandate isn't because Jewish will have part of Muslim possession!! Ridiculous
You are getting into another debate my friend.
Stop been that dumb.
Nani kasema ardhi ya Palestine mandate ilikataliwa kugawanywa!?
UN katika resolution yake ya kwanza na pili haikutenda haki.
Hizo resolution zilikua zinampa eneo kubwa Israel kuliko Palestina.
Wakati resolution ya tatu inatoka Israel ikaanza kupora hadi ardhi ambayo Palestina walibaki nayo.
 
Taifa la Palestina limetajwa kwenye Quran,?.!! Haahahaha kwani nchi gani hazijatajwa na leo zipo na wala hamna shida wewe unatafuta Justification gani? Biblia imetaja vema taifa la Israel basi
Ona unaanza kujichanganya sasa😂😂😂😂.
Palestine imetajwa ndio katika Qur'an.
Hapa tunaizungumzia Israel sio mataifa mengine.
Maana madai yenu Palestina haikuwahi kuwepo yani kana kwamba Israel ilikuwepo kabla.
Huwa unajivuruga vibaya sana we jamaa.
 
Wayahudi walipewa 55% kwenye mgawanyo ambao 80% ya hii ni jangwa bovu desolute wasteland na walikubali. Ukweli unabaki waarabu hawakusema wamepewa mgao mdogo ila hawakukubaliana na Wayahudi kupewa taifa they chose war thinking young Israeli would be a pushover
 
Lete ushahidi wa wao kuchagua vita!?
Nipo hapa nasubiri.
 
You guys are deligimizing Israel and trying to justify Palestine in place of it but can prove the point
 
Countries mentioned in the Bible
  • Egypt
  • Iran
  • Iraq
  • Turkey
  • Jordan
  • Lebanon
  • Greece
  • Italy
  • Syria
  • Saudi Arabia
  • Bulgaria
  • Romania
  • Bosnia
  • Croatia
  • Israel
 
Name: The name "Muhammad" is mentioned four times in the Quran.
Kuna Tofauti kati ya Kutajwa na Masimulizi..

Hicho ulichokisema Ni masimulizi yaani Maelezo ila Muhamad Imetajwa Si katika masimulizi bali katika Maonyo na Marejeo

Na Ninaweza kukuonyesha Mara zote zilikuwa zinamaanisha nini..

1.Surah Al Imran (3:144): "Na Muhammad si chochote ila ni Mtume tu. Wamekwisha pita kabla yake Mitume. Je, akifa au akauwawa ndiyo mtageuka mrudi nyuma? im…"

2. Surah Muhammad (47:2): "Na walio amini, na wakatenda mema, na wakaamini aliyo teremshiwa Muhammad…"

3. Surah Al-Fath (48:29): "Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri,..."

4. Surah Al-Ahzab (33:40): "Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii…"

Hizo ndo mara zote Nne Muhamad Inatajwa kwenye Quran na Hakuna Sehemu yoyote ina masimulizi zaidi ya Maonyo au Maelekezo..

Sasa wewe Ulipata wapi Kuna story Kwenye Quran...

Quran sio story Wala masimulizi Mkuu..
Quran Ni kitabu cha Mashairi/Uandishi wa kishairi kama Unavyozungumzia Mithali au Zaburi kwahyo ni vigumu Kukuta Masimulizi
 
Quruani ni masimulizi tu Allah kasema au Mohamed kasema au Mjomba wake Mohamed kalaaniwa Abu Lahabi.

No Story za kutunga na zingine ni zimekopiwa kutoka katika Dini nyingine.
Bhasi sawa Jitahidi Usome Kitu na Kukielewa kabla ya Kuchangia chochote....Unaweza Pia uka uliza kwa wanaojua..
Quran si Kitabu cha masimulizi
 
Mpuuzi mmoja ww sasa ile Oslo accord viability land ilikua ipi
 
Hakuwahi kupaa wala kufika Jerusalem ike propaganda ya wavaa makobazi
Msikilize huyu Msaudi Arabia akiwaambia kuwa hiyo Al Aqsa Mosque wanayosema ni ile ya Jerusalem ni UONGO. Anasema kuna huo Msikiti ndani ya Saudi Arabia yenyewe na siyo huko Israel. Anaongezea kusema kuwa itakuaje mtume alienda kwenye msikiti huo Jerusalem wakati Msikiti ulijengwa 682 na Mtume alikufa 632?

View: https://x.com/CherylWroteIt/status/1847368757846675643
 



View: https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=I5yclg1a5laogPF2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…