Unaelewa context ya hiyo ayah au umeileta tu?Al maktoum Quran 5.21
my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa context ya hiyo ayah au umeileta tu?Al maktoum Quran 5.21
my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers
😂😂🤣🤣Wagogo ndio wenye asili ya nchii.
Kwani Alisema Kuwa Ametokea wapi??View attachment 3140807
Mohamed anasema alipaa kwenda Mbunguni akitokea Jerusalem lakini hakusema kuwa ni Palestina.
Alisema ametokea kwenye Hekalu la Mfalme Suleymani.akiwa na maana Jewish King Solomon.Kwani Alisema Kuwa Ametokea wapi??
Hekalu la Mfalme Suleiman Liko wapi kwa sasa??Alisema ametokea kwenye Hekalu la Mfalme Suleymani.akiwa na maana Jewish King Solomon.
Temple Mount Jerusalem lakini lilishabomolewa.Hekalu la Mfalme Suleiman Liko wapi kwa sasa??
Hujajibu swali na Sasa Hivu hilo Hekalu linaitwaje???Temple Mount Jerusalem.
Lilikuwa Jerusalem kwenye eneo la Temple Mount Historia inasema lilibomolewa kwa mara ya pili.Hujajibu swali na Sasa Hivu hilo Hekalu linaitwaje???
Yeah mpaka Hapo Umekuwa Muwazi..Lilikuwa Jerusalem kwenye eneo la Temple Mount Historia inasema lilibomolewa kwa mara ya pili.
Nasasa mahala pake umejengwa Msikiti wa Al Aqsa na Beitul Maqdis.
Huo Msikiti ulijengwa wakati wa Umayad Caliphate miaka mingi baada ya Mohamed kufa hata hiyo Story iliyomo kwenye Quruani inaonekana ni ya kutunga haina ukweli wowote.Yeah mpaka Hapo Umekuwa Muwazi..
Hekalu lilivunjwa Mwaka 70.AD na lilijengwa Msikiti Kipindi cha Mtume au Islamic State au Islamic Empire..
Hiyo sio Quran ni Hadith za Mtume chief kwenye Quran hakuna Masimulizi ya MtumeHuo Msikiti ulijengwa wakati wa Umayad Caliphate miaka mingi baada ya Mohamed kufa hata hiyo Story iliyomo kwenye Quruani inaonekana ni ya kutunga haina ukweli wowote.
Ila hawa Waumini wa Kiislamu ukiwaambia wanakuwa ni wakali sana sijui ni kwa nini.
FaizaFoxy
Name: The name "Muhammad" is mentioned four times in the Quran.Hiyo sio Quran ni Hadith za Mtume chief kwenye Quran hakuna Masimulizi ya Mtume
Holly land which Allah has bestowed to you (Children of Israel)Unaelewa context ya hiyo ayah au umeileta tu?
Swali simple JE IMETAJWA NCHI YA ISRAEL AU ARDHI TAKATIFU!??H
Holly land which Allah has bestowed to you (Children of Israel)
Hamna cha context msipindisha Quran mnayoiamini
Enter the land and don't turn?! What do you were then planning after entering? or what had God commanded them to do?Swali simple JE IMETAJWA NCHI YA ISRAEL AU ARDHI TAKATIFU!??
Mbona unaruka ruka kijana😂😂😂😂
Lete hapa palipoandikwa TAIFA LA ISRAEL??Enter the land and don't turn?! What do you were then planning after entering? or what had God commanded them to do?
Kuna sehem ya Quran inapinga utaifa wa Israel!!?
In your eyes dividing India 🇮🇳 so that Muslims can have their own land was ok but dividing Palestine mandate isn't because Jewish will have part of Muslim possession!! RidiculousSwali simple JE IMETAJWA NCHI YA ISRAEL AU ARDHI TAKATIFU!??
Mbona unaruka ruka kijana😂😂😂😂