Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

Kuna watu Toka hawajazaliwa wameumbwa kuwa masikini maana Mungu amesema nakujua toka kuzaliwa kwako mpaka kufa kwako.

Je utafanyaje kupindua Meza?

Roga BabaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kajiunge freemason😁
 
Swali lako halina mantiki, unauliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?

Kwa sababu wewe ni kiziwi hujui sauti, unajua rangi tu.
Swali lako pia halina mantiki kwangu. Tutakutana wakati mwingine. Lets agree to disagree.
 
Kuna watu Toka hawajazaliwa wameumbwa kuwa masikini maana Mungu amesema nakujua toka kuzaliwa kwako mpaka kufa kwako.

Je utafanyaje kupindua Meza?

Roga BabaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ˜€πŸ˜€
 
Swali lako pia halina mantiki kwangu. Tutakutana wakati mwingine. Lets agree to disagree.
Agreeing to disagree is an oxymoron.

Hata hujaeleza kwa nini swali langu halina mantiki kwako.

Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini.

Na mpaka sasa, hujaeleza unathibitishaje Mungu yupo kweli, na unajuaje kwamba hizo habari za kuwapo Mungu si hadithi tupu tu.
 
Ukisoma Biblia kuna mahali Yesu alipelekwa mlimani na shetani ili kumuonyesha utajiri wote wa Dunia. Kuna haja ya kuuliza tena nani anatoa utajiri?
 
"Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini."
[emoji115]
Ok!
 
Ukisoma Biblia kuna mahali Yesu alipelekwa mlimani na shetani ili kumuonyesha utajiri wote wa Dunia. Kuna haja ya kuuliza tena nani anatoa utajiri?
Mkuu kuna maisha mazuri na utajiri. Huo aliooneshwa Yesu ulikuwa ni 'Utajiri wa Kutisha', yaani mkubwa sana.
 
Geza geza ndiyo nini?
 
Mimi sijawahi kuona tajiri mcha Mungu na nimekuwa mhasibu viwanda vingi tabia zao:
  1. Wabinafsi sana
  2. Hawana upendo kabisa, wengi hawana msaada kwa ndugu zao.
  3. Wauaji
Mimi nitataja wachache:
  1. Balesa - huyu kasha kula ndogo watu kibao. Ukimuibia au ukamfanyia uhuni, anakukula kiboga. Aidha, anapeleka watu kuhiji, yeye haendi, anaamini kwa mauchawi yake, akigusa maka anakufa.
  2. Rostam - huyu ni mafia, kuua nje nje, pia anashinda kwa waganga.
  3. Moo-kashaua sana maafisa wa Tihalaei wanaojifanya wakazaji. Na anawaganga na mamiungu yake makali sana. Ni mcheza kamari na malaya sana.
  4. Jiituu Patee - huyu mafia kaa mbali na hela yake au utarest in place.
  5. Marehemu Mengi: ni alikuwa mnyonyaji hatari. Wafanya kazi wake wengi wamekufa masikini. Aidha, ni mwizi sugu. Hata mtaji alitoa alipokuwa mtumishi wa uma kwenye kukagua mahesabu. Akitaka kiwanja chako, anawazee wake, anawatuma wanamqushirikina. Unajikuta umeuza bei ya kutupa.
Ushauri: Kama unataka utajiri, fanya kazi kwa bidii sana. Jiweke karibu na serikali. Usiwe mwema hasa kwa ndugu. Toa rushwa. Fanya fitina na usisahau kwenda kwa waganga. Saidia sana mayatima na wajane.

Angalizo:
Asilimia 85 ya matajiri siongelei wezi wa sadaka kina Gwajima nazungumzia kina Moo huwa hawana furaha kabisa.

Bwana Yesu alisema utafteni Ufalme wa Mungu, mengine mtazidishiwa. Hapa ndipo ilipo tabu; Mungu hayuko serious na ndoto ya wewe kuwa tajiri, yeye anataka ufanye matakwa yake kwanza ndipo akufikilie. Lakini ipo njia ya kufosi, King nimezitaja hapo juu.

Nimezungumza kwa ukweli wangu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…