Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

Ndugu Mungu yupo, tunamthibitisha kwa uumbaji wake. Huu ulimwengu haukujifanya wenyewe, hii mipaka ya bahari haikujiweka yenyewe, ukiona kitu kipo kuna aliye kifanya.
 
Ndugu Mungu yupo, tunamthibitisha kwa uumbaji wake. Huu ulimwengu haukujifanya wenyewe, hii mipaka ya bahari haikujiweka yenyewe, ukiona kitu kipo kuna aliye kifanya.
Unathibitishaje ulimwengu huu umeumbwa na Mungu?

Unajua kwamba ulimwengu kuwa haujajiumba wenyewe si lazima uwe umeumbwa na Mungu.

Kama vile wewe kutokuwa umejizaa mwenyewe maana yake si lazima uwe mtoto wa James Bond 007?

Sasa unaniambiaje James Bond 007 ni lazima yupo, kwa sababu wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe?

Unaelewa ndicho ulichosema hapa?

Kwamba, kwa kuwa wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe, basi wewe ni mtoto wa James Bond 007.

Logical non sequitur.
 
Mungu na akubariki. Roho yangu imeridhia mimi kuamini haya.
 
Jibu swali na uulize swali Kiranga. Tulia uache fujo.
Sarcastic Socratic, not democratic
This tactic not static, Colt automatic
Carbon based bipeds go nut head
Stubborn dazed go to bed before you go dead!
 
Sarcastic Socratic, not democratic
This tactic not static, Colt automatic
Carbon based bipeds go nut head
Stubborn dazed go to bed before you go dead!
Ndiyo umeshajibu swali kwa maelezo hayo au?
 
Mungu unaye mkataa akufunulie kumjua... kuna neno linasema KIBURI CHA UZIMA
 
Hapo bora kula sadaka, ila pia inataka ujasiri sana, hivi huwa wanapata usingizi kweli baada ya kuchukua senti za wenye dhiki yatima na wajane kwa kuwarubuni kuwa wamemtolea aliye juu na watabarikiwa?
 
Hapo bora kula sadakq, ila pia inataka ujasiri sana , hivi huwa wanapata usingizi kweli baada ya kuchukua senti za wenye dhiki yatima na wajane kwa kuwarubuni kuwa wamemtolea aliye juu na watabarikiwa?
Jamaa ameamua kufunguka ukweli wake wote kwa faida ya wengi
 
Bado una ndoto za kutajirika baada ya kuujua ukweli?
Ndiyo, ila zipo moyoni mwangu na sitopiga magoti niombe kwa Mungu. Yeye anajua tu automatic. Vya kuomba ni uzima, afya njema, na kadhalika. Material things kama utajiri, maisha mazuri, na kadhalika, hayana ulazima wa kuomba. Anakupa tu automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…