Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

Kwani kuna ulazima gani wa kunyamazisha watu wasitoe maoni yao?

Hoja inapingwa kwa hoja. Hujatoa hoja, unanyamazisha hoja.

Wewe unayeniambia mimi kwa nini nisiwe napita kimya tu, mbona wewe mwenyewe umeshindwa kupita kimya tu?
Kiranga hukuwahi kuanguka chooni kweli utotoni?
 
Unathibitishaje ulimwengu huu umeumbwa na Mungu?

Unajua kwamba ulimwengu kuwa haujajiumba wenyewe si lazima uwe umeumbwa na Mungu.
Mkuu Waswahili wanasema"Ukiona vyaelea VIMEUNDWA"

Kama unadai Ulimwengu haujaumbwa na Mungu.... Toa alternative watu waelimike., ilikuaje Ulimwengu ukatokea ??

Kuliko kuendeleza ubishani usio na mwisho.
 
wewe mungu wako ni yupi?
 
Mimi niko Dar es Salaam
Hapo Mzizima kwetu tutakutana tu.

Tatizo langu kila nikitaka kuja likizo, ndugu zangu nao wanakuja likizo huku hivyo nashindwa kuja.

Siku hizi hata kupanga miadi ya kuja naogopa uongo.
 
Hapo Mzizima kwetu tutakutana tu.

Tatizo langu kila nikitaka kuja likizo, ndugu zangu nao wanakuja likizo huku hivyo nashindwa kuja.

Siku hizi hata kupanga miadi ya kuja naogopa uongo.
Ukiweza fanya kila liwezekanalo uje huku. Miongoni mwa watu humu JF nina ndoto za kuonana nao live, wa kwanza ni wewe Kiranga.
 
Sijasoma ila kichwa juu chajieleza kua bado na mitihani yote na kheri zoote kuna watu wanajiona wanapata wanacho pata kwa akili na nguvu zao sawa muda utaongea
 
Kwanza kabisa hujathibitisha huyo Mungu yupo.
Creation - making something out of nothing


Hapo mwanzo kulikuwako na neno, naye neno alikua kwa Mungu , Naye neno alikua ni Mungu

Vitu vyepesi km hv ukitaka kutumia akili nyingi kuvielewa utakua unapoteza muda mkuu.

Mungu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…