Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Hata mkitaka kuhamishia Bunge la Tanzania Chato hakuna TATIZO.
 
Jirani yake kuna hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, Bugando! Nani ataenda chato Na si Bugando?
 
Lile jengo la TRA chato,yani nyerere aliona mbali ndugu zetu wasukuma,wachaga,wahaya na wanyakusya hawapaswi kupewa madaraka makubwa ya ukuu wa Nchi

Hivi unayo yasema hapa yameandikwa kwenye katiba hipi?

Mbona Nyerere mwenyewe alikuwa anakemea dhana ya kubaguwa watu kwa misingi ya ukabila - Nyerere alisema wazi wazi kwamba tusimkatae mtu kuteuliwa kiti cha Urais kutokana na asili ya kabila lake.
 
Umenena kweli.
 
Kwani anayepeleka miradi ni Magufuli au serikali?
Unakosea kusema sehemu nyingine hakuna miradi. Mradi wa maji Shinyanga to Tabora? Mradi wa meli ziwa Nyassa?

Flyover ya Ubungo ni sawa na bil 9 zinazojenga Hosp Chato?
Hospital ya Chato ni zaidi ya bil 30. Halafu flyover ni mkopo pia.
 
Right. Mtwara iko kwenye ujenzi mwaka wa tatu huu na sidhani kama ya mabilioni yote.

Huko kigoma wangewapelekea ingekuwa jambo la heri sana.
 
Jirani yake kuna hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, Bugando! Nani ataenda chato Na si Bugando?
Next. Serikali itajitoa Bugando halafu iwatake wafanyakazi waende Chato. Watahama ila hawatamisha familia zao kijijini.
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Kwani tuwabague watu wa vijijini? Watoke kijijini kufata huduma bora mjini, kwani tukibadilika itakuaje jamani? Yaani huduma zote kubwa ziwepo mjini tu?
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Ingejengwa msoga au Kijiji unachotoka wewe pia ungelalamika mkuu?
 
Yani umejibu kisomi sana...!
 
Kuna miradi mingine angepeleka Geita Mji (Mjini), yeye kaitenga Geita live live anapeleka wilayani chato na wala sio mkoani yaani Geita Mji (mjini) , mfano uwanja wa ndege chato, hospital ya rufaa chato, chuo cha utumishi chato, Veta chato, Burigi chato, Mwalo chato, nilikuwa naongea na jamaa wa Geita anasema anfanya hivyo kwa sababu kina msukuma na group lake kipindi anaomba udhamini walimkimbia akakuta Hewa office ya ccm , lakini yeye ameshakuwa Rais tayari hakuna umuhimu wa kuitenga Geita , angetawanya ili watu wote wale, mimi sina shida na Burigi hifadhi, Rubondo, Mwalo wa chato maana haya yako chato huwezi hamisha, laikini uwanja wa Ndege , hospital ya rufaa, chuo cha utumishi, hivi vitatu pia kimojawapo au viwili angepeleka Geita mjini.

Hatukatai Chato sio Tanzania, ni Tanzania ,lakini mtawanyo wa maendeleo kwa wote ni vema zaidi, hapa tunaongea kigoma, tabora, mpanda hakuna hospital ya kanda basi nako sio afikirie ajenge walau watu watakuwa na imani na anavyofanya.
 
Mtu mzima anapotoa mifano ya kitoto tunamwita mwehu! Nchi hii kuna miji mingi mikubwa iliyo na idadi kubwa ya watu lakini imeachwa kwa sababu za ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…